Kumpenda mtoto wake tu, hatimae akanipa

Kumpenda mtoto wake tu, hatimae akanipa

ure now commited to pay part of the child care and school fees
 
Yani aliona aiwezekani ukimwi waumwe wawilitu ndio maana akaona akuongezee wewe
 
Na mimi yupo hapa jirani mmoja kuanzia kesho nitaanza kumpenda huenda ikaja kunilipa
 
Mara nyingine wanawake ni watu wa ajabu sana. Unaweza kumfanyia mwanamke wema fulani na anaweza kuwa katika nafasi ya kukulipa pesa nyingi tu, lkn hawezi kuridhika mpaka akupe zawadi ile. Sijui kwa nn
 
nakutafuta wewe
Umezidi kidogo ubonge mkuu ungekuwa Modo ningekwambia unitafute kuna mpemba wiki ijayo anatuingizia pesa yetu tumeuza nyumba yetu ya urisi ilala nipo vzr kuanzia wiki ijayo kwa hiyo tukijifungia kwa rum huku tunatililika Jf sio mbaya.Au unaonaje kwa kuwa wiki ijayo hera inaingia ungenitafuta kesho pesa zitukute katikati ya safari
 
the way nilivyo hata wewe utachomoa Papuchi yako pindi nikutamkiapo nakupenda kwa Mara ya kwanza hakuna ubishi katika hilo yani.
Aah wapi aliyekwambia kila mtu anaendekeza ngono nani...halafu siangaliagi outside appearance......sorry
 
Back
Top Bottom