Kumpenda mtoto wake tu, hatimae akanipa

Kumpenda mtoto wake tu, hatimae akanipa

Mbona kakupa kirahisi hivyo duuuh
Watu papuchi zao wanaziona km mkono tu...muda wowote unampa mtu aushike..
Sijui lengo lke ni nini..huenda akawa ze next wife material...au nae anakudangia tu...
Endelea kumsoma mwema oa...si kila single maza ni kicheche inatokeaga tu bht mbaya akazalishwa
True dat
 
Umezidi kidogo ubonge mkuu ungekuwa Modo ningekwambia unitafute kuna mpemba wiki ijayo anatuingizia pesa yetu tumeuza nyumba yetu ya urisi ilala nipo vzr kuanzia wiki ijayo kwa hiyo tukijifungia kwa rum huku tunatililika Jf sio mbaya.Au unaonaje kwa kuwa wiki ijayo hera inaingia ungenitafuta kesho pesa zitukute katikati ya safari
unapumulia hela za urithi?
 
Huyo aliona "Yes"!!...wacha niongeze janaume lingine maana linampenda kweli mtoto wa mwenzie, wacha wasaidiane matumizi. Anyway, point yangu ni kwamba mkuu hapo wewe ndio unaliwa, na utajikuta unasomesha huyo mtoto...akimaliza masomo mshahara wa kwanza atapeleka kwa baba yake mzazi kwa kumshukuru kumleta duniani. Full stop
Acha kuwa na Mawazo ya Giza,
 
Mbona kakupa kirahisi hivyo duuuh
Watu papuchi zao wanaziona km mkono tu...muda wowote unampa mtu aushike..
Sijui lengo lke ni nini..huenda akawa ze next wife material...au nae anakudangia tu...
Endelea kumsoma mwema oa...si kila single maza ni kicheche inatokeaga tu bht mbaya akazalishwa
Fadhila tu na sio kingine, moyo sukuma damu usifanye kazi nyingine
Aise ndio maana naamini Tz hakuna njaa atakama ikitokea watu hawatajali maana kuna kitu wanakipenda sana zaidi ya msosi
 
Nmewatafuna sana ma single mothers kwa stahili hiyo ya kuwapenda watoto wao sana actually napenda sana watoto. Mungu anisamehe tu.
Hiyo style alikufundisha nani?
 
Ukipewa unakula tu labda uwe una matatizo ndio utaacha ...
 
Mbona kakupa kirahisi hivyo duuuh
Watu papuchi zao wanaziona km mkono tu...muda wowote unampa mtu aushike..
Sijui lengo lke ni nini..huenda akawa ze next wife material...au nae anakudangia tu...
Endelea kumsoma mwema oa...si kila single maza ni kicheche inatokeaga tu bht mbaya akazalishwa
Tofali shikamoo Avatar yako inaniacha hoi
 
In the year 1993, Moses alitafuna assistant bursar kwa Mazingira haya haya. Sina uhakika kama alilipa ada. Tulikuwa high school
 
Nikweli kabisa mimwenyewe kuna single mother mji huu nimemsaidia mwanae alishindwa kwenda shule kwaajili ya ada nikajitolea kiroho safi mwezi uliopita matokeo yake mama mtu amejaa mazima kwamba kwakua hana cha kunilipa basi anipe pumziko nikamwambia hapana siku zote mpe asiyekupa ukimpa aliye kupa utakua hujampa bali umemlipa
kwa hiyo hukumfanya?
 
Back
Top Bottom