Kumjua mwanamke mwenye mapenzi ya dhati

Kumjua mwanamke mwenye mapenzi ya dhati

Jamaa kwa mabar maid hujambo , yani fact namba moja umeanzia bar kaah hahahaha alafu unatuelezea kuhusu mapenzi ya dhati , endelea tu na tabia zako , najua gono huchezi nalo mbali hahahaha
 
Hivi kiswahili darasa la tatu waalimu wake ni vodafaster? Yaani inakera kwamba mtu hajui kuandika kwa ufasaha kama hakusoma hata la kwanza. Hata kama umeathirika na lahaja ya kwenu lakini hata wapi utumie 'r' wapi 'l'HUJUI ?? inahuzunisha sana!
ndio vijana wetu na mitandao mkuu.......halafu hata hajistukii.
 
Ukitaka kujua kama mkeo au mpenzi wako .kama anamapenzi ya dhat #1. Ukiendanae baa hawezi ket katka kiti bila kukusogezea kiti ww #2. Mkiingia hoteli hawezi kula bira kukurisha japo kijiko kimoja tu. #3. Hawezi mariza sku hata moja bila kukutamkia neno nakupenda. #4. Hawezi pata fulaha ukiwa umesafri __ huyo ndo mwenye mapenzi ya dhati...............
Wasukuma na wakurya li ni ri na nawadar wao hawachagui kabila wote kwenye ri li amazing nani kakudanganya kuvutiwa kiti unapendwa loh kwa taarifa yako mwanaume ndio amvutie mke kiti .
Sio wewe unamapenzi ya kimeru au kiafrica.
Mapenzi ya kweli ni pale mwanamke anahakikisha unaraha sio unamfanya mtumwa inatwa kudekezana sasa hapa umeenda vise versa mwanaume ndio hayo yote anatakiwa aonyeshe mke afuate ila nyie washamba ndio mwataka muonyeshwe nyie.
 
Back
Top Bottom