Yaani JK bana kiboko, kawapa kisogo EAC sasa Mtanzania ndio boss wa SADC. Kazi wanayo majemedari wa EAC na hatma yao, hii ndio Tanzania bana.
JK anazidi kuweka historia kidiplomasia, katika awamu yake tumeshuhudia Augustine Mahiga akiongoza Somalia huku akiwa ndie mjumbe maalum wa UN pale, tumeshuhudia mama Tibaijuka akiwa juu kabisa katika UN-Habitat, tumeshuhudia mama Migori (japo alivurunda) akiwa ni 2nd in command katika UN yaani deputy secretary general.
Hongereni watanzania wenzetu, ipeperusheni vema bendera ya nchi yetu.
kupewa ukatibu mkuu wa sadc , hakuhusiani na kutaka kujitoa eac, bali ni zamu ya tanzania kutoa katibu mkuu.