Kumjua adui yako inasaidia???? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumjua adui yako inasaidia????

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Kikomelo, Aug 21, 2012.

 1. K

  Kikomelo Senior Member

  #1
  Aug 21, 2012
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Za leo wana Jf, nataraji mko vzr. kuna ishu moja imenishangaza kidogo, watu wakishaona majina kwenye website ya watu kuitwa kwenye usahili basi wanaanza kutafuta information za wale wanaooneka kuwa watafanya interview nao!
  Kwa mfano kuna sehemu tuliitwa watu 8 kwa ajir ya kufanya interview ya assistant lecturer, ila siku nilipofika kwenye eneo la interview nilishangaa kuona kuna mtu ananijua kwa jina! Baada ya kuzoeana nikamuuliza alinijuaje maana sikuwa na kumbukumbu ya kukutana naye hapo kabla. ndo aliponiambia kuwa alikuwa akiingiza majina ya watu kwenye google na kutafuta habari zao kama kujua matokeo yao ya form iv na six na kujua wamesoma vyuo gani?
  Mi nilishangaa kwa kweli, na badae mtu mwingine tena akaniambia yeye pia huwa anafanya ivyo ili kujua hao atakaopambambana nao wakoje!
  Je wewe mwana Jf unadhan ukimjua mpinzani wako in advance inakusaidia au ni kupoteza muda?
   
 2. Majigo

  Majigo JF-Expert Member

  #2
  Aug 21, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 5,418
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  unaambiwa.... Mjue Adui Yako....!!!
   
 3. MAUBIG

  MAUBIG JF-Expert Member

  #3
  Aug 21, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 972
  Likes Received: 536
  Trophy Points: 180
  mi nadhani ni strategy nzuri, hata vitani inatumika sana
   
 4. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #4
  Aug 21, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,705
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  It's nonsense, ukishamjua candidates mwenzako ndo nini? utapata hiyo kazi? do the Interviewer ask about your fellow candidates applying for the same post?....mimi nafikiri ni Ulimbukeni tu,badala ya kuchimba kutafuta details za hiyo office unayotaka kujiunga nayo au hiyo posn you are applying for wewe unakwenda ku'dig information za candidates wenzako wana nini GPA na vitu vya aina hiyo......watakaokuwa shortlisted pamoja na mimi Wanichimbe tu kwakweli mimi nitakuwa nachimba details za muhimu ambazo najua zitanipa nafasi ya kuonekana nina cha ziada ninachokijua zaidi ya watakachokuwa wanakijua wao(GPA yangu).
   
 5. Obama wa Bongo

  Obama wa Bongo JF-Expert Member

  #5
  Aug 21, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 4,767
  Likes Received: 2,494
  Trophy Points: 280
  strategy mbovu hiyo ya interview
   
 6. K

  Kikomelo Senior Member

  #6
  Aug 21, 2012
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Wao wanakuwa wanataka kujua umesoma wapi, CBE, IFM, MZUMBE au UD! Na wanacheck kwenye facebook kuona ukoje na unafanya nini kwa sasa! Kama mtu kasoma TIA na wewe umesoma UD unadhan ndo utamshinda kwenye interview? kitendo cha kuitwa kwenye interview hata kama nina GPA ya 3.8 na wewe una 4.5, inamaana kuwa I can stand before na nikikushinda watanichukua mimi na 3.8 yangu! isingekuwa ivyo basi wenye 4.5 wangekuwa wanaajiriwa bila interview.
   
 7. Obama wa Bongo

  Obama wa Bongo JF-Expert Member

  #7
  Aug 22, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 4,767
  Likes Received: 2,494
  Trophy Points: 280
  ndugu hao ndo wachawi wenyewe ofisini wakiajiriwa ndo kila siku wanafatilia mambo ya watu badala ya kufanya kazi,kitu muhimu kinacho kufanya upate kazi is u re competent,
   
 8. Sunman

  Sunman Member

  #8
  Aug 23, 2012
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tz badilikeni angalia wa Keny wanavyowapiga pasi ndefu...tunachopenda umbea.
   
 9. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #9
  Aug 23, 2012
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Ni dalili ya Inferiority complex na kukosa kujiamini...
   
 10. K

  Kikomelo Senior Member

  #10
  Aug 23, 2012
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Nadhan tatizo ni hili hasa! Nimekupata Zion Daughter
   
Loading...