Kumjaribu mpenzi kama si msaliti.

Kumjaribu mpenzi kama si msaliti.

Mshinga

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
3,532
Reaction score
1,128
kuna tabia hasa kwa wavulana kuwajaribu wapenzi wao kama ni wagumu kukubali pindi watongozwapo.
MARA NYINGI WANA TOA NAMBA ZA SIMU KWA RAFIKI ZAO ILI WAWATONGEZE NA WAKATI MWINGINE WANAWEKA LOUD SPEAKER.

pia ubishani wa wavulana juu ya uaminifu wa wenzi wao hupelekea kuwajaribu wasichana wao.MFANO.mmoja anaweza kuwaambia wenzake kuwa demu wake ni mwaminifu sana na hawezi kumkubali mtu yeyote,lakini mbaya zaidi nimewahi kushudia wasichana wengi waliotongozwa kwenye simu na wavulana wasiowajua wakikubali kirahisi tofauti na imani ya wenzi wao(wavulana).
HILI NI TATIZO NA WAKATI MWINGINE LINAVUNJA UHUSIANO WA WAPENZI WAWILI.

My reguards.
1.BOYS & GIRLS STOP THIS HABIT
2.usijaribu sumu kwa kuilamba.
3.wasichana acheni kukubali kirahisi watu msiowajua kwa sababu ya maneno matamu ya kuwabembeleza
 
Heee haya mambo yanatokea kweli mwandishi ,naona niko mbali na dunia . Kama ulivyoainisha huenda upo ukweli ktk hili na kama hivyo ndivyo basi wahusika yapasa waufuate ushauri wako iwapo wanaipenda amani ktk mahusiano yao.
 
Wapo wanaofanya na wapo waliofanyiwa na kukutwa na aibu hii pindi mambo yanapowekwa hadharani.
 
Too old for this i guess.
Hivi na wavulana wakijaribiwa itakuwaje?
Have fun galz and boys
 
Sio mpaka wavulana wajaribiwe,WRONG NUMBER Tu za kutoka kwa wasichana huwa wanazikomalia kweli kweli kisa wamesikia sauti ya mtoto wa kike.
 
Too old for this i guess.
Hivi na wavulana wakijaribiwa itakuwaje?
Have fun galz and boys

Nikigundua nafanyiwa check up ya uaminifu I make it for real.
Hakuna kitu sipendi kama kujaribiwa., just trust me, Piriodi.😡
 
Kama humuani ya nini uendelee kuwa naye? Matatizo hayatafutwi bali yanakimbiwa, kufanya hivyo ni kutafuta tatizo.
 
AAAAH AHA HA HA HA HA HA HA!! sijachekka kwa mazuri kwani miaka fulani nilipewa hilo jukumu la kumtest mtu uaminifu enzi zile promo ya tigo shs 5 kwa dakika ile usku kucha, basi huyo mtoto alikuwa mwana udsm anaish pale mabibo, unaambiwa nikiwa na jamaa ake ndio aliofadhili ununuzi wa vocha ile, nilibembeleza mtoto yule hatak kunielewa hata kidogo wala nini anataka story za kawaida nikitumbukiza tu cd ya malavidavi anatishia kukata simu,
wapendwa wanajukwaa amini usiamini kesho yake ilikuwa j2 huwa sisaha mtoto yule wa kiarusha mwenyewe kanipigia simu kaniuliza nilipo nkamwelekeza akasema nakuja kukuchek mi nkaogopa au wanakuja na jamaa nini? akafika akaniambia yale maombi yangu ya usku ameyakubali, hivyo ikabid tutafute usafiri na kwenda kuweka kambi la mapenz kule mbez rest, akaniambia ananipa ila ye ana jamaa yake bas nami nkaendelea kula kisela mpaka juz kat hii ndipo kaolewa na yule bwana na wamehama ndio ukawa mwisho wangu wa kudoea penz langu hilo, kiukweli mada imenipa mzuka sana.
 
Hahahaa.. Sasa mkuu, Jamaa ake ulimpa result gani baada ya wewe kukamilisha Test yako?
 
Damn shiet....even Mentor is too old for this shit!!!
 
watu wa leo wapo kwenye mahusiano wakisubiria something better. Hivyo sishangai mtu kukubali kirahisi.
 
ukitega demu wa leo anategeka ka uzi wa pamba ukiguswa na moto. siku zote tambua hakuna mwanamke mgumu. so ishi naye kwa upendo na kwa kumuelekeza kama mtoto mdogo
 
Teh teh,vitu hivyo nimefanya miaka ya 90 nikiwa teenager,..watu wazima mnafanya hayo?muwe na soni.
 
unafanya hivyo alafu demu wako anamegwa kweli hahahahah!!!!!,kweli ndio mana serikali inakataza watu wasivute bangi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom