YeeeesssssMbona Miaka ya 1985-1990 wabongo walikuwa wananunua magari mapya kabisa toka nje
Sema vurumai alianzishaga JABA na kutuletea magari used bongo
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
YeeeesssssMbona Miaka ya 1985-1990 wabongo walikuwa wananunua magari mapya kabisa toka nje
Sema vurumai alianzishaga JABA na kutuletea magari used bongo
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Asante sana mkuu.Niombe kwa Mungu .nia makubwa, hadhi yako si gari chakavu, muombe Mungu atakupatia haja ya moyo wako
Ni kweli lakini we jamaa ni li korofi na ligomviJaribu kuchunguza kwann Unayo gari uliyonayo , I mean ni vigezo gani vilikufanya umiliki hiyo gari. ? Wengi mliangalia CC...plus Upatikanaji Wa Spare . ... maanake ni nn , mnaogopa Gharama za mafuta. .. Kuogopa Gaharama ni nn , kuogopa gharama maana yake ni kutokua na uwezo wa kujitosheleza/kua na uwezo mdogo wa kukabili majukumu makubwa.
Mtu wa mwanzo mwanzo kuleta magari usedJABA ndo nani?
Sasa sijui Labda waliona wanunuzi walikuwa wachache? Ila Enzi zile wazee wakinunua magari Gari ilikuwa ni brand new, uskani, viti kote Kuna nylon unalibikiri mwenyeweYeeeesssss
Mtu wa mwanzo mwanzo kuleta magari used
Duh inaelekea ulikuwa mdg wkt huo
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Upo sahihi sana ndugu. Nimeishia SA. Hizo BMW, Mercedes, etc bei zake zipo chini haswa. Wengi wanao zinunua mi lazima waingie kwenye maintenance plan (Bima ya Matengenezo) ambayo huisha ikifikia kilomita 1,000,000. Baada ya hizo kilomita hata kuliuza mtaani ni shida kwa kuwa watu wengi wenye uelewa wa changamoto za matengenezo yake huwa hawataki hata kuyaona. Hapa Bongo mtu akionekana na BMW au Mercedes anaonekana bonge la tajiri hata kama thamani ha hiyo gari ni chini ha Rav4. Shida ya uelewa ina waangamiza wengi. Mengi ha hayo magari yanaozea gereji mchangani kwa kukosa spea za kawaida kabisaNadhani bado watu wengi wana uelewa mdogo sana wa magari.
Kwa kifupi ni kwamba used BMW and the like kama Benz, Audi etc sio gharama kununua. Na sio kweli kuwa watanzania wameshindwa kununua hayo magari. Mimi binafsi nimetumia BMW mara tatu ( 3series, 5 series and x3) but now I switched back to Toyota. Sababu kubwa ya kuacha kutumia BMW is the fact that they're are very unreliable cars .... it's nearly every month I must go to mechanics to fix something....tukiwa wadogo we used to hear that Germany's cars are the most durable cars but now today folks...the problem with Germany's cars today is that they've been over engineered...too complex with unnecessary complex technologies....these freaking complex computer stuffs makes them so unreliable. .
In short if you have go money to burn then just buy them...I call them the money pit machines... They look great from the outside but so unreliable cars
Na jua linavyo waka mpaka upara ukilipata hata chakavu magoti lazimaMimi hata pikipiki chakavu sina,hivyo nikipata gari hata km ni chakavu nitapiga magoti kumshukuru Mungu.
Kabisa mkuu.Na jua linavyo waka mpaka upara ukilipata hata chakavu magoti lazima
Hakuna nchi haziuzwi used car hata Japan kwenyewe kuna maduka ya used cars. Acha ushamba mtoa mada