Kumiliki "used toyota car" ni symbol tosha ya umaskini

mandella

mandella

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Messages
2,886
Points
2,000
mandella

mandella

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2011
2,886 2,000
Nashangaa sana Imekua kama Vile symbo Moja wapo Ya Utajiri kwa nchi za Africa especially Bongo Land kwa Mtu kumiliki Gari.
Gari lenyewe sasa Mtu analotamba nalo Ni Toyota Brand,nyingi Zikiwa Hizi Baby Walker. ..
Mtu ananunua katoyota Basi ndio hata akifika mahala kwenye Kakikao cha Ukoo anataka asikilizwe yeye tu hata kama ataongea pumba. .
Mtu unakuta ni Chembamba kuliko Fidodido ,ila atakavyojitanua sasa sanamu la michelini halioni ndani.

Ufunguo siku izi wanaweka kwnye kale Kadude ka mkanda. ...

Ivi mnajua Huo Mtumba wako wa Gari Nchi nyingine ni Dumped Product Ama ! Unajua Kuna nchi Nyingi Gari yako hiyo unayojidai nayo Ukithubutu kuigiza Nchi kwao unaweza Fungwa Hadi Miaka 30 Jela kwa Kuingiza Bidhaa chakavu.

TUPUNGUZENI MBWEMBWE NA HIVI VIUCHAFU VYETU JAMANI.
MBWEMBWE ZIANZIE
HAPA
0KM BRAND NEW CAR /SUPER BRAND ..SUPER BRAND NAZUNGUMZIA KINA BMW NA NDUGU ZAKE.
ILA KWA SISI WENGINE TUWENI TU WAPOLENI TUNAMILIKI TAKATAKA.

Nnaposema ni symbol tosha ya Umaskini wala sikosei though mtanishambulia,Jaribu kuchunguza kwann Unayo gari uliyonayo , I mean ni vigezo gani vilikufanya umiliki hiyo gari. ? Wengi mliangalia CC...plus Upatikanaji Wa Spare . ... maanake ni nn , mnaogopa Gharama za mafuta. .. Kuogopa Gaharama ni nn , kuogopa gharama maana yake ni kutokua na uwezo wa kujitosheleza/kua na uwezo mdogo wa kukabili majukumu makubwa.

Binafsi nnachoendelea kukikomba mwaka huu , moja wapo ni hili , Gari langu la pili lisitoke kwa Hawa Jamaa wa Japan Used Car na Liwe ni Brand New 0KM.
My Case is Different.

My take.

Enough is Enough bana Kwann wao hawatumii Mitumba kutoka Africa , Hadi Nguo za ndani wanatuuzi Used .. Tushikweni na Hasira sasa tuache Kujigamba na Huu uchafu wanaotutupia Hawa watu , mbaya Zaidi Uchafu huo ndio unakuja kutumika kututengenezea Matabaka sisi wenyewe.
Tambua tu ww , Mwenye pikipiki na Asiyekua na chombo chochote cha Moto kwa sisi hapa Bongo wote tu kwnye Tabaka Moja la UMASKINI.
 
instagram

instagram

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Messages
443
Points
1,000
instagram

instagram

JF-Expert Member
Joined May 27, 2014
443 1,000
Nashangaa sana Imekua kama Vile symbo Moja wapo Ya Utajiri kwa nchi za Africa especially Bongo Land kwa Mtu kumiliki Gari.
Gari lenyewe sasa Mtu analotamba nalo Ni Toyota Brand,nyingi Zikiwa Hizi Baby Walker. ..
Mtu ananunua katoyota Basi ndio hata akifika mahala kwenye Kakikao cha Ukoo anataka asikilizwe yeye tu hata kama ataongea pumba. .
Mtu unakuta ni Chembamba kuliko Fidodido ,ila atakavyojitanua sasa sanamu la michelini halioni ndani.

Ufunguo siku izi wanaweka kwnye kale Kadude ka mkanda. ...

Ivi mnajua Huo Mtumba wako wa Gari Nchi nyingine ni Dumped Product Ama ! Unajua Kuna nchi Nyingi Gari yako hiyo unayojidai nayo Ukithubutu kuigiza Nchi kwao unaweza Fungwa Hadi Miaka 30 Jela kwa Kuingiza Bidhaa chakavu.

TUPUNGUZENI MBWEMBWE NA HIVI VIUCHAFU VYETU JAMANI.
MBWEMBWE ZIANZIE HAPA

0KM BRAND NEW CAR /SUPER BRAND ..SUPER BRAND NAZUNGUMZIA KINA BMW NA NDUGU ZAKE.
ILA KWA SISI WENGINE TUWENI TU WAPOLENI TUNAMILIKI TAKATAKA.
Sema wewe tu huna uwezo mbona ma used cars mengine very luxurious. Mayweather mwenyewe anauza buggati lake
 
Metsada

Metsada

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2013
Messages
1,460
Points
2,000
Metsada

Metsada

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2013
1,460 2,000
Nashangaa sana Imekua kama Vile symbo Moja wapo Ya Utajiri kwa nchi za Africa especially Bongo Land kwa Mtu kumiliki Gari.
Gari lenyewe sasa Mtu analotamba nalo Ni Toyota Brand,nyingi Zikiwa Hizi Baby Walker. ..
Mtu ananunua katoyota Basi ndio hata akifika mahala kwenye Kakikao cha Ukoo anataka asikilizwe yeye tu hata kama ataongea pumba. .
Mtu unakuta ni Chembamba kuliko Fidodido ,ila atakavyojitanua sasa sanamu la michelini halioni ndani.

Ufunguo siku izi wanaweka kwnye kale Kadude ka mkanda. ...

Ivi mnajua Huo Mtumba wako wa Gari Nchi nyingine ni Dumped Product Ama ! Unajua Kuna nchi Nyingi Gari yako hiyo unayojidai nayo Ukithubutu kuigiza Nchi kwao unaweza Fungwa Hadi Miaka 30 Jela kwa Kuingiza Bidhaa chakavu.

TUPUNGUZENI MBWEMBWE NA HIVI VIUCHAFU VYETU JAMANI.
MBWEMBWE ZIANZIE HAPA

0KM BRAND NEW CAR /SUPER BRAND ..SUPER BRAND NAZUNGUMZIA KINA BMW NA NDUGU ZAKE.
ILA KWA SISI WENGINE TUWENI TU WAPOLENI TUNAMILIKI TAKATAKA.
Usituletee Ugomvi Binafsi au Wivu Hapa JF
 
D

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Messages
4,568
Points
2,000
D

dmkali

JF-Expert Member
Joined Nov 17, 2014
4,568 2,000
Akili ya maskini siku zote hujifariji....wenzako wanadrive we baki unavuta mdomo....0km inamaa hiyo gari imetengenezewa chumbani kwako? Inatembea kitandani tu? Maana ninavyojuwa 0km maana yake hubebwa!...watu Wa kariba yako hata wanapoona mtu kajenga! Husema MIJENGO ULAYA BONGO MABANDA TU!
 
troublemaker

troublemaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Messages
8,433
Points
2,000
troublemaker

troublemaker

JF-Expert Member
Joined Jun 8, 2015
8,433 2,000
Ndo tabu za watu wenye roho za kukosa hubakiza majungu tu.
Haya tuambie wewe unamiliki gari gani? Hata kama unamiliki buggatti binadamu hatukosawa hayo unayoyaita baby Walker hawajatengenezewa mbuzi tumetengenezewa watu kuendana na vipato vyetu.
Mbuzi hula kwa urefu wa kamba.
 
kanyela mumo

kanyela mumo

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2016
Messages
1,901
Points
2,000
kanyela mumo

kanyela mumo

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2016
1,901 2,000
Mwisho kutembelea used car hususani Toyota 2020 kunapo majaaliwa.

Haya ni malengo yangu.
 
Forum statistics

Threads 1,316,112
Members 505,494
Posts 31,879,356
Top