Kumiliki "used toyota car" ni symbol tosha ya umaskini

D

DAN LOKOMOTIVE

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2016
Messages
457
Points
500
D

DAN LOKOMOTIVE

JF-Expert Member
Joined Dec 16, 2016
457 500
Nashangaa sana Imekua kama Vile symbo Moja wapo Ya Utajiri kwa nchi za Africa especially Bongo Land kwa Mtu kumiliki Gari.
Gari lenyewe sasa Mtu analotamba nalo Ni Toyota Brand,nyingi Zikiwa Hizi Baby Walker. ..
Mtu ananunua katoyota Basi ndio hata akifika mahala kwenye Kakikao cha Ukoo anataka asikilizwe yeye tu hata kama ataongea pumba. .
Mtu unakuta ni Chembamba kuliko Fidodido ,ila atakavyojitanua sasa sanamu la michelini halioni ndani.

Ufunguo siku izi wanaweka kwnye kale Kadude ka mkanda. ...

Ivi mnajua Huo Mtumba wako wa Gari Nchi nyingine ni Dumped Product Ama ! Unajua Kuna nchi Nyingi Gari yako hiyo unayojidai nayo Ukithubutu kuigiza Nchi kwao unaweza Fungwa Hadi Miaka 30 Jela kwa Kuingiza Bidhaa chakavu.

TUPUNGUZENI MBWEMBWE NA HIVI VIUCHAFU VYETU JAMANI.
MBWEMBWE ZIANZIE
HAPA
0KM BRAND NEW CAR /SUPER BRAND ..SUPER BRAND NAZUNGUMZIA KINA BMW NA NDUGU ZAKE.
ILA KWA SISI WENGINE TUWENI TU WAPOLENI TUNAMILIKI TAKATAKA.

Nnaposema ni symbol tosha ya Umaskini wala sikosei though mtanishambulia,Jaribu kuchunguza kwann Unayo gari uliyonayo , I mean ni vigezo gani vilikufanya umiliki hiyo gari. ? Wengi mliangalia CC...plus Upatikanaji Wa Spare . ... maanake ni nn , mnaogopa Gharama za mafuta. .. Kuogopa Gaharama ni nn , kuogopa gharama maana yake ni kutokua na uwezo wa kujitosheleza/kua na uwezo mdogo wa kukabili majukumu makubwa.

Binafsi nnachoendelea kukikomba mwaka huu , moja wapo ni hili , Gari langu la pili lisitoke kwa Hawa Jamaa wa Japan Used Car na Liwe ni Brand New 0KM.
My Case is Different.

My take.

Enough is Enough bana Kwann wao hawatumii Mitumba kutoka Africa , Hadi Nguo za ndani wanatuuzi Used .. Tushikweni na Hasira sasa tuache Kujigamba na Huu uchafu wanaotutupia Hawa watu , mbaya Zaidi Uchafu huo ndio unakuja kutumika kututengenezea Matabaka sisi wenyewe.
Tambua tu ww , Mwenye pikipiki na Asiyekua na chombo chochote cha Moto kwa sisi hapa Bongo wote tu kwnye Tabaka Moja la UMASKINI.
we una gari gani unaendesha mkuu au unategemea kununua gari gani maana ukinunua gari ya design hiyo na uatakua dhaifu sana
 
TUJITEGEMEE

TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Messages
13,949
Points
2,000
TUJITEGEMEE

TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2010
13,949 2,000
Mkuu vipi, kuna mtu kakunyima lifti na kipindi hiki cha mvua??
Bwana we watu wana mambo....akiwamo mleta mada na huyo unayemuhisi kamfanyia visa mleta mada. Kipindi fulani nami nilikutana na wafanya visa....
Ilikuwa hivi niliomba lifti kwa jamaa nikamumuuliza kama atapitia sehemu ninapoelekea akasema atapitia...akaniruhusu nipande...ndani ya gari nikakuta alikuwa amempa abiria mwingine lifti.abira huyo namjua. Mvua kubwa ilikuwa inaelekea kunyesha. Baada ya kama dakika 10 toka tuanza safari...huku manyunyu manene manene ya mvua kubwa yanaanza kudondoka...abiria mwenzangu walifit akasikika akimshauri dereva aliyenipa lift kuwa "...kwa nini tusipitie njia ya kilimani....huyu atakimbilia pale mbele kidogo atapata usafiri...."; Dereva wala hakubisha, akaniambia "....bwana eee ....shuka....kimbilia njia panda ile kule mbele....angalia hii mvua kubwa isikulowanishe...." Sikuwa na mwavuli wa koti la mvua. Nikashuka....nilijishangaa nguvu nilizitoa wapi za kumbwambia "....asante nashukuru kwa lift...".
Mwisho wa kisa.
===
Mimi mpaka leo nafikiria hilo lilikuwa tukio lililokuwa" too extreme " na kati ya matukio machache kuwakumba walimwengu.
 
doama

doama

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2013
Messages
640
Points
500
doama

doama

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2013
640 500
Na kutokua na uwezo kabisa wa kumiliki tuanaiitaje kwa sababu Niko level ya ambao hawana kabisa
 
mng'ato

mng'ato

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2014
Messages
15,423
Points
2,000
mng'ato

mng'ato

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2014
15,423 2,000
we una gari gani unaendesha mkuu au unategemea kununua gari gani maana ukinunua gari ya design hiyo na uatakua dhaifu sana
Jamaa anaponda huku ye mwenyewe anaulizia passo/vitz/starlet

SHERRIF ARPAIO

SHERRIF ARPAIO

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2010
Messages
9,032
Points
2,000
SHERRIF ARPAIO

SHERRIF ARPAIO

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2010
9,032 2,000
M

Mazindu Msambule

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Messages
5,840
Points
2,000
M

Mazindu Msambule

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2012
5,840 2,000
Lengo No 1 la kununua gari ni kukufikisha kule unakotaka kwenda, uchaguzi wa gari sasa ndio utaangalia masuala kama security, durability nk but still wote mtafika kule mnakokwenda, ni sawa na wewe unapenda kula lunch Kilimanjaro kempicick (sijui kama nimepatia spellings) na mwingine akala mgahawani nk, lengo ni kupata chakula cha mchana. Anae tumia BMW na Toyota whether ni mpya au kukuu (mtumba ) still wote mtafika mnako kwenda, hizi zingine ni mbwembwe na mawazo ya kimasikini tu. Hivi unajua mmiliki wa Facebook hajawahi kununua au hata kumiliki Television? So mtazamo wako unaweza kua sahihi kwako binafsi but sio kwa wote. Kuna kipindi Fulani nilikua sipendi kabisa kuvaa nguo za mtumba, sasa hivi napenda sana, kilicho nifanya niaze kupenda nguo za mitumba ni ile kwamba ukivaa shati kwa mfano, ni wewe tu ndio unalo but mashati ya dukani unaweza kulinunua jipya kabisa haafu ukawa zako kanisani then unakuta kumbe ndio sare ya KWAYA, so tunatofautiana sana mitazamo.
 
mng'ato

mng'ato

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2014
Messages
15,423
Points
2,000
mng'ato

mng'ato

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2014
15,423 2,000
Unafukua makaburi
Hahah nilitaka kujua tajiri huyu anaendesha gari gani la ma bentley,Porsch etc kumbe ye mwenyewe anatafuta kununua zile gari za wanyonge(vitz,starlet,passo) tena used za kibongo bongo sio hata from Japan.
 
M

mwakibete

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2009
Messages
2,837
Points
2,000
M

mwakibete

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2009
2,837 2,000
Bwana we watu wana mambo....akiwamo mleta mada na huyo unayemuhisi kamfanyia visa mleta mada. Kipindi fulani nami nilikutana na wafanya visa....
Ilikuwa hivi niliomba lifti kwa jamaa nikamumuuliza kama atapitia sehemu ninapoelekea akasema atapitia...akaniruhusu nipande...ndani ya gari nikakuta alikuwa amempa abiria mwingine lifti.abira huyo namjua. Mvua kubwa ilikuwa inaelekea kunyesha. Baada ya kama dakika 10 toka tuanza safari...huku manyunyu manene manene ya mvua kubwa yanaanza kudondoka...abiria mwenzangu walifit akasikika akimshauri dereva aliyenipa lift kuwa "...kwa nini tusipitie njia ya kilimani....huyu atakimbilia pale mbele kidogo atapata usafiri...."; Dereva wala hakubisha, akaniambia "....bwana eee ....shuka....kimbilia njia panda ile kule mbele....angalia hii mvua kubwa isikulowanishe...." Sikuwa na mwavuli wa koti la mvua. Nikashuka....nilijishangaa nguvu nilizitoa wapi za kumbwambia "....asante nashukuru kwa lift...".
Mwisho wa kisa.
===
Mimi mpaka leo nafikiria hilo lilikuwa tukio lililokuwa" too extreme " na kati ya matukio machache kuwakumba walimwengu.
Huyo abiria mwingine alikuwa ni SHE nini??
 
Hajto

Hajto

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2013
Messages
2,810
Points
2,000
Hajto

Hajto

JF-Expert Member
Joined Sep 30, 2013
2,810 2,000
Labda kwa gari,ila pikipiki wabongo mbona tunaanzaga na 0km
 
Fideliiiz

Fideliiiz

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2016
Messages
486
Points
500
Fideliiiz

Fideliiiz

JF-Expert Member
Joined Dec 23, 2016
486 500
Mtoa mada fala kweli ww una wivu wa kikuda mnoo
 
mng'ato

mng'ato

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2014
Messages
15,423
Points
2,000
mng'ato

mng'ato

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2014
15,423 2,000
mng'ato

mng'ato

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2014
Messages
15,423
Points
2,000
mng'ato

mng'ato

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2014
15,423 2,000
mpimamstaafu

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Messages
2,196
Points
2,000
mpimamstaafu

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2018
2,196 2,000
Nashangaa sana Imekua kama Vile symbo Moja wapo Ya Utajiri kwa nchi za Africa especially Bongo Land kwa Mtu kumiliki Gari.
Gari lenyewe sasa Mtu analotamba nalo Ni Toyota Brand,nyingi Zikiwa Hizi Baby Walker. ..
Mtu ananunua katoyota Basi ndio hata akifika mahala kwenye Kakikao cha Ukoo anataka asikilizwe yeye tu hata kama ataongea pumba. .
Mtu unakuta ni Chembamba kuliko Fidodido ,ila atakavyojitanua sasa sanamu la michelini halioni ndani.

Ufunguo siku izi wanaweka kwnye kale Kadude ka mkanda. ...

Ivi mnajua Huo Mtumba wako wa Gari Nchi nyingine ni Dumped Product Ama ! Unajua Kuna nchi Nyingi Gari yako hiyo unayojidai nayo Ukithubutu kuigiza Nchi kwao unaweza Fungwa Hadi Miaka 30 Jela kwa Kuingiza Bidhaa chakavu.

TUPUNGUZENI MBWEMBWE NA HIVI VIUCHAFU VYETU JAMANI.
MBWEMBWE ZIANZIE
HAPA
0KM BRAND NEW CAR /SUPER BRAND ..SUPER BRAND NAZUNGUMZIA KINA BMW NA NDUGU ZAKE.
ILA KWA SISI WENGINE TUWENI TU WAPOLENI TUNAMILIKI TAKATAKA.

Nnaposema ni symbol tosha ya Umaskini wala sikosei though mtanishambulia,Jaribu kuchunguza kwann Unayo gari uliyonayo , I mean ni vigezo gani vilikufanya umiliki hiyo gari. ? Wengi mliangalia CC...plus Upatikanaji Wa Spare . ... maanake ni nn , mnaogopa Gharama za mafuta. .. Kuogopa Gaharama ni nn , kuogopa gharama maana yake ni kutokua na uwezo wa kujitosheleza/kua na uwezo mdogo wa kukabili majukumu makubwa.

Binafsi nnachoendelea kukikomba mwaka huu , moja wapo ni hili , Gari langu la pili lisitoke kwa Hawa Jamaa wa Japan Used Car na Liwe ni Brand New 0KM.
My Case is Different.

My take.

Enough is Enough bana Kwann wao hawatumii Mitumba kutoka Africa , Hadi Nguo za ndani wanatuuzi Used .. Tushikweni na Hasira sasa tuache Kujigamba na Huu uchafu wanaotutupia Hawa watu , mbaya Zaidi Uchafu huo ndio unakuja kutumika kututengenezea Matabaka sisi wenyewe.
Tambua tu ww , Mwenye pikipiki na Asiyekua na chombo chochote cha Moto kwa sisi hapa Bongo wote tu kwnye Tabaka Moja la UMASKINI.
Mkuu kumiliki New bland sio mzaha
 
Forum statistics

Threads 1,316,112
Members 505,494
Posts 31,879,416
Top