Kumiliki gari kunaficha umasikini

bora ungewaambia mbovu sababu zingine kuzielewa mpaka uwe mfuasi wa ccm.

mimi nkitaka kwenda kukopa gesi ama sukari dukani kwa mangi naendaga na gari yaani hachomoi kirahisi. gari sometimes inaongeza heshma ata bar husumbuliwi sumbuliwi kulipa Bill
hahahahahahahah its true my dear... inaongeza hadhi....tena sana aisee!ila umenichekeshaa
 
Na sasa hivi ukiwa na gari ujue umepinga udugu wa damu na Traffic wetu
Kweli kabisa maana Trafiki wamepewa mamlaka ya TRA
ila juzi hapa nilisoma habari humu waliambiwa na kiongozi mmoja walegeze
 
Umejua kunchekesha bibiye😂😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…