Kumi bora na Shule mbili

Unamaanisha nn ? Funguka :confused2::confused2::confused2::confused2:
Namaanisha kuwa elimu sasa si ya ushindani. Sasa imemilikiwa na shule chache. Miaka ya nyuma kidogo,tuliokuwa shule za Serikali tulionekana kama ndio wenye akili. Sasa ni tofauti. Kwanini shule mbili? Elimu imedumaa
 
misamaha ya kodi toka kwenye makampuni makubwa inaweza kucover
kama kamuni moja tu ilisamehewa 11billions sembuse makampuni yote?
 
Haya ya darasa la saba yalikua yanapatikana mtandaoni mkuu sijui form two tena nilisikiaga form two hakuna mtihani wa taifa wanapita tu hadi form four
Mkuu katalina,matokeo ya kidato cha pili ni kama ya darasa la saba. Hayawekwi mtandaoni. Hupatikana kwenye vitabu vya matokeo Wilayani,Mkoani na mashuleni.
 
Back
Top Bottom