Mmmmmmmmmmmmmmh!
KUMUHESHIMU MUME MWENYE MAHELA KUNAKUJA AUTOMATICALLY TU! Bila jitihada wala bidii binafsi. Manake unajua ukilegea tu NAFASI ISHAKAVWA KITAMBOOOO! Hata kama umenuna ukikumbuka mipea ya viatu isiyo na idadi, kabati la milango sita halifungi lilivoj minguo, simu gani iingie ukose, ukikohoa ushapata, hata atembeze kikojoleo chake mji mzima wala huondoki humo ndani, labda utembeze viwembe tu kwa wadada wa mujini, ila kuachia ngazi watasubiri sanaa. Utahangaikaje kumpulizia incase umechuja kakuchoka choka kimtindo, Utamlisha mizaga yote ya kilingeni atulize korodani, wa kufa na kuzikana.
KUMUHESHIMU MUME HANA KITU, UNAMUWEKA WEWE MJINI, HICHO SI TU KIPAJI NI KARAMA YA KIPEKEE! Lol! Inahitaji mtaala na twisheni juu, maana motivation ni 0. Alijisemea shoga angu saa 7 tunatoka harusini club aulizwa mumeo sawa hakumind huhisi atachepuka hivi usivokuwepo. Akajibu yule bwana mi ndo namuweka mjini, kama kuna mdada na akili zake atamlegezea ampige FREE P, namruhusu tu, maana siku mbili atamchoka na kuniachia, sana sana atanigea off hizo siku 2.