Kumheshimu mume ni raha sana

Kumheshimu mume ni raha sana

Hawa wakwetu hawakupi heshima mpaka uwaonjeshe vitu vyenye ncha kali.......
 
Mfano wa comment zao
-We ulijuaje kama hawakuigiziii hao kukaa nao dk 5 tu mbio jf kuanzisha sredi
-Wengi wanajitahidi kufanya hivyo mbele ya watoto ila huko ndani moto unawaka
-Mume kashikwa akili na mkewe huyooooo
-Bla bla bla bla bla

Cc Yule mdada mwenye mamvi na miwani mikubwa, teh teh aaahhh
 
Ndoa zetu nyingi tunazofunga siku hizi tunafunga kwa kuiga au ilimradi na wewe uonekane umeolewa au umeoa bila kujua hasa lengo la ndoa ni nini hasa. Tunafunga ndoa upande mmoja ukiwaza mazuri ya ndoa huku upande wa pili ukiwaza siku akizingua tuu napiga chini... ndoa za namna hiyo haziwezi kudumu. Ndoa hufungwa kwa lengo la wawili hao kuishi maisha yao yote kwa kusaidiana wakiwa na raha au wakati wa matatizo. Unapaswa umchukulie mwenzi wako kama sehemu ya mwili wako kuwa at any cost utaendelea kua nae, kuishi nae na daima utampenda labda tuu kifo kiwatenganishe. Ukiingia na imani hii kwenye ndoa utakuta kuwa ndoa ndio yenye nguvu zaidi ya lolote na changamoto zote mnazozipitia daima mtakuwa mkitafuta suluhisho ili muishi vizuri kwa maana hakuna alternative nyingine zaidi ya kuishi pamoja. nimeipenda hiyo ndoa tajwa hapo juu na kwa kweli inashawishi na sisi wengine tuoe.

Wanajamvi katika mizunguko ya hapa na pale leo nikaingia nyumba ya jirani, kuna jambo limenifurahisha sana likanikumbusha mawosia ya marehemu bibi yangu.

Nilipoingia nilikuta watoto wamekaa pembeni washakula baba yao anamalizia kula, baada yakumaliza kula mke akamletea mumewe maji yakunawa aliponawa akamwambia "ahsante mama nice " baba akanyanyuka akaenda kuchota maji yakunywa yale ya mezani yalikuwa yameisha.

Alivyokunywa akamletea mkewe akanywa (haya yamefanyika ndani ya dakika chache kabla cjasema kilicho nileta kwa mama) mme anajiendeleza kimasomo akanwambia mke " nakaa wapi nisome hapa kina nice wanasumbua mke akamwambia ngoja nikuandalie kule kwenye chumba cha wageni. Baba kamsaidia mama kuleta meza na ufagio wakufanyia usafi. Mama akaniambia samahani subiri kidogo, kamuandalia mmewe sehemu yakujisomea ndipo akaja kunambia shoga unasemaje.

Walinifurahisha sana kama sio unafiki ukizingatia wana watoto 3 tayari bado wanaheshimiana.
Angekuwa mwingine angeanza kuongea na mimi wakati kisheria nikumsikiliza mumewe kwanza maana akikuwa anahitaji kuandaliwa sehemu yakusimea sio zaidi ya dakka 5. nimfano wakuigwa
 
Ivi kwa mfano...wakati mme wako anakutokea ulikua bado chuo na yeye alikua anapesa na kazi nzuri ,yaani namaanisha amekuoa kakutoa nyumbani kwenu huna hata shuka.....mmeendelea kuishi kwa miaka kadhaa alafu wewe ukabarikiwa kupata kazi nzuri zaidi ya huyo mme wako ina maana hata kipato utamzidi. Unaendelea kumheshimu au utaona shida kumheshimu kwa sababu pesa yake haitoshi tena. Naomba uwafafanulie kina dada humu ndani maana usije ukawa unawapotosha wengine.... lara 1 jaribu sana kuwa mwangalifu na vitu unavyoandika humu.... kwa jinsi navyoangalia humu wewe ni kama role model humu..ni super star wa JF hivyo una fans. Sio mbaya kama wakati mwingine ukajaribu kuwasaidia wanawake wenzako wawe kwenye mstari sahihi. Naamini una nguvu na uwezo wa kufanya hivyo. Sio kwa ubaya lakini.

benteke umenena 10000000%!!

Nilichokiona JF kama mtu ana upeo mdogo WA kujiamini & kufikiri akifuatilia sana yasemwayo na baadhi ya wadau humu atamezeshwa sumu nakujikuta ameiga hata yasiyofaa!!!
Nami nahimiza JF iwe ni mtandao WA KUIJENGA jamii na taifa makini na lenye future kizazi hadi kizazi, tusiendekeze sana hisia, matakwa & misimamo yetu!!!
There are some people would automatically learn something from You, so take care with how you talk & live!!!

#Personality
 
Last edited by a moderator:
Mmmmmmmmmmmmmmh!

KUMUHESHIMU MUME MWENYE MAHELA KUNAKUJA AUTOMATICALLY TU! Bila jitihada wala bidii binafsi. Manake unajua ukilegea tu NAFASI ISHAKAVWA KITAMBOOOO! Hata kama umenuna ukikumbuka mipea ya viatu isiyo na idadi, kabati la milango sita halifungi lilivoj minguo, simu gani iingie ukose, ukikohoa ushapata, hata atembeze kikojoleo chake mji mzima wala huondoki humo ndani, labda utembeze viwembe tu kwa wadada wa mujini, ila kuachia ngazi watasubiri sanaa. Utahangaikaje kumpulizia incase umechuja kakuchoka choka kimtindo, Utamlisha mizaga yote ya kilingeni atulize korodani, wa kufa na kuzikana.

KUMUHESHIMU MUME HANA KITU, UNAMUWEKA WEWE MJINI, HICHO SI TU KIPAJI NI KARAMA YA KIPEKEE! Lol! Inahitaji mtaala na twisheni juu, maana motivation ni 0. Alijisemea shoga angu saa 7 tunatoka harusini club aulizwa mumeo sawa hakumind huhisi atachepuka hivi usivokuwepo. Akajibu yule bwana mi ndo namuweka mjini, kama kuna mdada na akili zake atamlegezea ampige FREE P, namruhusu tu, maana siku mbili atamchoka na kuniachia, sana sana atanigea off hizo siku 2.
lara kuna watu wanadharau hata uwe na hela mpaka usahau umezisave account ipi atakudharau tu.
Wakati mwingine mtu haangalii unamiliki nini ndo akuheshimu, heshima ni tabia ya mtu kutokana na malezi alopata au mambo aliyojifunza duniani.
 
Last edited by a moderator:
Ni raha sana kumheshimu mume wako. Na hii ni rahisi ikiwa kuna mapenzi. Act like a lady.. say no to ubabe.

But..asikwambie mtu kuna wanaume ma kauzu hahaaaa..utajutraaaaa
 
Back
Top Bottom