Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,076
- 6,774
.
Sidhani kama wenzio watakuelewa sababu Beijing imepoteza wengi. Hakuna uchawi Wala limbwata ni mama kujua nafasi yake, mume anafuata tu. Kwani wanaume tuna ujanja?
Dada zetu utandawazi unawaharibu sana. Kwa hiyo ukikosewa heshima nawe unamkosea heshima? Nani atajifunza kwa mwenzake?...no wonder ndoa nyingi zipo ICU.mi nmesoma heading tu maelezo sijasoma...umuheshimu anayekuheshimu fulstop ..sio unamuheshim mume asiyekuheshimu huo ni utumwa wa ndoa kama si wa mapenzi....samtym heshima inaenda likizo kwakweli ..
Hao wanaheshimiana na kupendana......
Subiri waje wenye majeraha yao uwasikie
wewe uko upande upi?!
Mmmmmmmmmmmmmmh!
Mambo ya sirini hayo ujue
Hao wanaheshimiana na kupendana......
Subiri waje wenye majeraha yao uwasikie