Kumhamisha Mbunge Humphrey Polepole kutoka Kamati ya kudumu ya Utawala bora na Serikali za Mitaa kumelenga nini?

Mungu wangu! Yaani Mkuu wa majeshi msukuma, Diwani naye naskia kanda ya ziwa, Siro kanda ya ziwa, Bashiru kanda ya ziwa,mawaziri kibao kanda ya ziwa,katibu wa Ikulu kanda ya ziwa,Polepole kanda ya ziwa..Mh kumbe palikuwa na shida kidogo!
Tulivyokuwa tunasema kuwa nchi ipo vipande vipande watu hawakuelewa.
 
Diwani sio kanda ya ziwa ni kaskazini
Ooh! Hapo sawa, maana kuna jamaa alisema ni mtu wa ukerewe..

Sikutaka kufatilia maana kwa nchi hii kuna mengi yanaudhi yaani ukiyajua yanakera bora ukae kimya utafte mkate kwa ajili ya familia na kamchepuko!
 
Kuna taarifa kwamba Spika wa bunge la Tanzania Job Ndugai amefanya mabadiliko kwenye kamati za kudumu za bunge , na kumhamisha Mh Mbunge Humphrey Polepole kutoka kamati ya awali ya Utawala na serikali za mitaa na kupelekwa Kamati ya Sheria ndogo .

Swali ni hili , Mabadiliko haya yamelenga nini ?
itakuwa kwasababu yupo highly against kuondolewa wamachinga, sasa kama Mwenyekiti wa kamati inayoshughulika na Tawala za mikoa na serikali za mitaa ikigomea mamlaka za SM, kuondoa wamachinga italeta msuguano kweli, na Polepole kwenye shule yake ya uongozi amejiapiza kupanda nalo bungeni na moto uwake.
 
u
Kwani huwa anasimamia msimamo Gani? Tangu alivyo shindwa kwenye katiba mpya amepoteza uhalali kusimamia chochote na akaeleweka na yeyote hata Mimui.
 
Sasa ni WA bolt, Uber, bajaj , boda,nikiwa vizuri tax bubu.Maisha yanaenda race na bahati mbaya mara zote sii rafiki kiviile.
Sipati picha maana kama alikuwa vile akiwa na kipato cha kufuru.

Leo hii tia maji tia maji sijui ataonekan vipi
 
Sipati picha maana kama alikuwa vile akiwa na kipato cha kufuru.

Leo hii tia maji tia maji sijui ataonekan vipi
Hapo alipo anajilaumu alitokaje kwenye uanaharakati wa utetezi wa wanyonge wa kweli na kuanza kuwatetea mabepari, majizi na mafisadi na Leo kageukwa.
 
Back
Top Bottom