Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,959
- 95,282
Tulivyokuwa tunasema kuwa nchi ipo vipande vipande watu hawakuelewa.Mungu wangu! Yaani Mkuu wa majeshi msukuma, Diwani naye naskia kanda ya ziwa, Siro kanda ya ziwa, Bashiru kanda ya ziwa,mawaziri kibao kanda ya ziwa,katibu wa Ikulu kanda ya ziwa,Polepole kanda ya ziwa..Mh kumbe palikuwa na shida kidogo!