Shuleni (Primary, mwalimu wa ekolojia (ecology) naingia kufundisha darasa alilotoka kufundisha mwalimu wa kiswahili
Mwalimu: Haya tumejifunza kuhusu kutegemeana kwa viumbe na mazingira. Nani anaweza kunipa mpangilio wa kiumbe yupi anakula mwenzake: Swala, Simba, Nyasi?
Mwanafunzi 1: Simba anakula Swala na Swala anakula Nyasi (majani).
Mwalimu: Safi sana. Haya nani aneweza kusema kwa nini simba hupendelea kuishi sehemu za nyasi/majani ndefu/marefu na vichake vifupi?
Mwanafunzi 2: Ili akiishiwa iwe rahisi ku ....
Mwalimu: Haya kwa leo tunaishia hapa tutaendelea na somo hapo kipindi kijacho.