Kumekuwa na mauaji ya halaiki Msumbiji

Hili ni deal lá mabeberu kuwatia watu hofu ili wafanye yao kwasababu washambuliaji hawataki kuonesha sura zao ili wajulikane na ikiwezekana wakae chini na serikali ili wayajenge,mbona Mariano Nhongo ambaye wanafanya vurugu central anajulikana na lengo lake kashaliweka wazi,kwanini hawa wa Cabo Delgado hawataki kujitambulisha?
Nalog off
 
Hiyo ni Global Jihad at work. Haiwezekani watu wa imani moja ndio wawe wanasumbua watu ktk maeneo mengi ya Afrika sasa hivi halafu isiwe sehemu ya jihad..

Ingekuwa ni mchanganyiko wa watu wa imani tofauti tofauti tungehisi labda ni uasi lkn ukisikia kote kwenye Trouble Spots ni wale wale na imani ile ile wakiua at will huku wakitamka "Religious Slogans" zilizozoeleka na imani hiyo wakati wakitenda uovu halafu mashabiki wao humu wanakuja na vitu visivyo hata na maana kujaribu kupotosha ukweli.
 
Mkuu ww unavyoona raia wakipewa silaha hao magaidi pia hawatozipata!!!maana gaidi hajulikani kwa sura nae atajiingiza kwenye mgao apate silaha, pia raia watauana kwa visasi kwa kisingizio cha shutuma za ugaidi. hapo serikali ifikilie tu kupambana na hao watu kwa njia zengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huko inatakiwa Kibiti style au Syria stle ya ilyokomesha Islamic State sijui ISIS caliphate sijui jihad.
Nawashanaa akina Zitto jinsi walivyopigia kelele hatua za serikali kule Kibiti hadi unashangaa hizi ni siasa tu au kuna 'agenda' nyingine nyuma ya pazia?!

Somebody need to terminate those savages and barbarians.
 
Kwa mujibu wa ripoti za AU hilo kundi linajulikana kama ansar al sunna au swahili sunna. Huku kwetu walianza na vituo vya polisi nadhani mnakumbuka stori za Stakishari, na baadae likaibukia la Kibiti. Mungu alitupigania na umahiri wa vyombo vyetu vya usalama tukamudu hali zote na sasa tuko shwari, tuwe walinzi wazuri wa jamii zetu hasa kusaidia vyombo vya usalama kutoa taarifa pale tunapoona chanzo fulani maana hao jamaa wanaongea lugha yetu kwa ufasaha sana ili hali wanaweza kuvuka huku kwetu bila kuwajua mapema, nadhani kwa wanaofuatilia habari mlisikia vilio vya wavuvi Mtwara na wakazi wa vijiji vya jirani na mipakani hadi IGP Sirro akaenda kufuatilia.

Ushauri wangu kwa vyombo husika hapa nchini pia mchukue tahadhari kali kwa viongozi au vikundi vya dini vinavyo jaribu kupaka uupuzi kwenye akili za wengine hasa mabarobaro/vijana. Kenya waliweza kumfuatilia Sheikh abdu rogo na makala zake za uchochezi, Uganda akina Sheikh kamoga na karibia maeneo ya Congo akina jamil mukulu , dusmas sabuni wameshadhibitiwa.

NB: Tuwe walinzi wa kwanza wa Taifa letu kupinga uhalifu, tukichukulia mzaha tutashudia mengi. Mungu azidi kumbariki Raisi wetu, Taifa letu pamoja na Afrika nzima. Tunaangamia kwa kukosa maarifa.
 
Wakifanikiwa Kuikalia Msumbiji watatusumbua sana Watanzania hasa maeneo ya Kusini.

Serikali za Kiafrika ziko bize na siasa za kushinda uchaguzi lakini sio usalama wa nchi.
Ndio maana kuna Intelijensia duni sana Afrika kutokana na kuwa na majeshi na taasisi za kipelelezi zenye njaa Kali.
Hao Magaidi wana mitandao mipana sana mpaka ndani ya vyombo vya dola na waandishi wa habari ni miongoni mwao.
Wanapata fedha nyingi sana kutoka kwa mataasisi makubwa na matajiri wa Kiarabu,kizungu na hata ndani ya nchi zenyewe kwa lengo la kujenga hofu kwa raia wabaki wakipambana na Ugaidi huku watawala walafi wakiendelea kushirikiana na mabeberu kuchota Mali za umma na kwenda kujenga Mijengo Dubai na kuweka fedha Ulaya na wake zao na watoto wao kujirusha America.

Kuna Vita tano Kali sana Duniani hasa Afrika:
(1) Waarabu wanatataka kurejesha himaya zao walizopoteza Afrika karne ya 19.
(2) Warumi nao wanalinda Himaya yao iliyojichanganya kwenye dini na siasa na dola karne nyingi ili isije ikawaponyoka.
(3) Wamarekani wanataka kutawala uchumi wa dunia kupitia Soko huria na Demokrasia.
(4) Wachina wanataka kuifanya Afrika kuwa Koloni lao jipya kwa Ulaghai kupitia wanasiasa wa Afrika wasio na maono na misimamo .
(5) Afrika inaangamizwa na Watawala wao wenyewe ambayo ni wabinafsi wenye uchu wa madaraka na wenye uchu wa kujilimbikizia Mali nyingi.

Hayo yote matano ni kama majini yanayolinyemelea na kulitafuna bara la Afrika. Hapo hakuna namna zaidi ya Waafrika wenyewe kutafakari kwa umakini na kuchagua jini mojawapo.

Cha msingi ni kuimarisha mifumo itakayowafutilia mbali viongozi Mafisadi na Walaghai ndani ya nchi za kiafrika ili Afrika iwe na maendeleo ya kiuchumi iepukana na viongozi Walaghai na wabinafsi wanaoweka mbele maslahi yao na marafiki zao ambayo (Wachina ,Wazungu na Waarabu)
Ujumbe kuntu
 
Huko inatakiwa Kibiti style au Syria stle ya ilyokomesha Islamic State sijui ISIS caliphate sijui jihad.
Nawashanaa akina Zitto jinsi walivyopigia kelele hatua za serikali kule Kibiti hadi unashangaa hizi ni siasa tu au kuna 'agenda' nyingine nyuma ya pazia?!

Somebody need to terminate those savages and barbarians.
Imagine... Itakuwa huwa wana hongwa kweli na mabeberu
 
Back
Top Bottom