Nyongeza ya mshahara au kupandishwa cheo sio automatic,inategemea utendaji wako wa kazi na vigezo vingine kama mwajiri wako atakavyo ona fit.Let us be serious,mtumishi huko tayari kum-support mwajiri wako kwenye endevours zake za kuwaendeleza wananchi including yourself,endevour ambayo itamsaidia kupata fedha za kukulipa hata mshahara!Jamani bado unategemea mwajiri huyo huyo akuongezee mshahara?!Kama unataka mwajiri wako awe nawe,be with him in times of need.Kwani nyongeza ya mshahara hutolewa kama matokeo ya kuiunga serikali mkono au hutolewa kama matokeo ya kazi unayoifanya pamoja na kupanda kwa gharama za maisha?!
Hivi unsjua kwamba TTCL iki-perform vizuri itatoa gawio kubwa serikalini,gawio ambalo litasaidia kukulipa hata wewe mshahara?Usione kama TTCL ni kitu cha mbaali,no it is so close to you.Ok mishahara na marupurupu iongezwe SI sahihi kupandisha cost za simu za kazi anazotumia mwajiriwa at the expense ya mfanyakazi.Uzalendo Ni two way traffic not one way.Huu mzigo wa charges za mwajiriwa kuwa na simu mbili ya Tigo pesa au Mpesa ili atumie kununua vocha za TTCL waajiri waubebe au TTCL ibebe vinginevyo TTCL ijipange ifikishe vocha kila Kona ya nchi na hizo huduma zake za TTCL pesa.Wasikwepe majukumu na kusukumizia waajiriwa wakatafute line za tigo pesa au mpesa ili waihudumie TTCL kwa charges at the expense of employee.No.
Wewe ni sehemu ya TTCL,usijione kama uko mbali sana na TTCL.Kumbuka kwamba ukii-support TTCL unaisaidia serikali kupata fedha kupitia gawio,na hivyo indirectly unaisaidia serikali kukulipa wewe mshahara.Usione kama TTCL iko mbali sana na wewe no.Jitafakari.Aisee, leo mbona uko chini hivi?
Mfanya kazi awe wa serikali au la, anapeleka pesa yake palipo na huduma nzuri. Zungumzia TTCL watoe huduma nzuri badala ya kukazia mfanya kazi apeleke uteja wake huko hata kama huduma ni mbovu.
Mkuu Ileje, heshima kwako.Kwa sababu TTCL siyo mwajiri wa watumishi wa serikali!
Nilitegemea mfanyakazi aone mbali kwa kuwa ana elimu,kumbe elimu haijasaidia.Hivi unaona kwamba TTCL ni biashara per se,no.Kumbuka kwamba TTCL iki-perform vizuri through your support,itatoa gawio kubwa zaidi na hivyo utaiwezesha kukulipa wewe mshahara.Funguka kijana.Usichanganye mambo ya biashara na ajira.
TTCL ni biashara, mtu ana uhuru wa kuwa mteja wako au la. Ujinga huu uliwahi kuibeba NMB.
Ajira ina sheria, haki na wajibu wake kwa mwajiri na mwajiriwa.
Mkataba unamtaka mwajiri kuongeza mshahara kila mwaka mpya wa fedha. Hili sio ombi wala hisani, ni sheria. Lkn kwa sababu nchi hii ni mazwazwa, hatuwezi kuhoji.
Kwa hiyo, mtumishi wa umma ana haki ya kuchagua mtandao anaoupenda.
Nilitaka kununua line ya TTCL lkn kwa ubabe huu sinunui nione mwajiri atanifanyaje.
Mawasilino katika ofisi za serikali hafanyika kwa simu za mezani ambazo ni za TTCL! Hivyo kwa mawasilino yote ya kiofisi wafanyakazi wa serikali wanatumia TTCL ambalo ni shirika la serikali!Mkuu Ileje, heshima kwako.
Naona unapanua goli badala ya kujibu hoja.
Binafsi ningependa kufahamu.
Suala Wafanyakazi wa TiGo wana line za tiGo, Wafanyakazi wa Vodacom wana laini za Vodacom, wafanya kazi wa AirTel kuwa na line za Airtelel , wafanyakazi wa Zantel wana line ya Zantel, wafanyakzai wa halotel nk wote wana line ambazo sina nasaba na mwajiri wao wala jamii haioni kama hilo ni tatizo. Namanisha hata mashirika yasiyo ya mawasiliano wanazo Kampuni rafiki za mawasiliano ambazo wanazitumia kwahuduma hizo ikiwemo CUG. Je kwa nini mfanyakazi wa Serikali kuwa na line zenye nasaba na mwajiri (Shirika la Mawasiliano la Taifa (TTCL) inaonekana ni tatizo?!?! Naomba kujua.
Ninakubaliana sana na wewe katika ulichoandika isipokuwa hayo maneno uliyoweka mwisho "Wewe ni sehemu ya TTCL,usijione kama uko mbali sana na TTCL.Kumbuka kwamba ukii-support TTCL unaisaidia serikali kupata fedha kupitia gawio,na hivyo indirectly unaisaidia serikali kukulipa wewe mshahara.Usione kama TTCL iko mbali sana na wewe no.Jitafakari.
Sio wajibu wangu ku'support' kama huduma ni mbovu.unaisaidia serikali kukulipa wewe mshahara.Usione kama TTCL iko mbali sana na wewe no.Jitafakari.
Wewe ni mmoja wa wale ambao unaweza kuchangia huduma ya TTCL ikawa nzuri,kama utajitambua.P'se come onboard.Ninakubaliana sana na wewe katika ulichoandika isipokuwa hayo maneno uliyoweka mwisho "
Sio wajibu wangu ku'support' kama huduma ni mbovu.
Umeandika "Kampuni rafiki za mawasiliano ambazo wanazitumia"..., lakini hujasema 'wanalazimishwa wazitumie'. Maana yake hapa ni kwamba wanao utashi wa kuzitumia au la. Hii ina maana kubwa ukiifikiria na ni tofauti na matakwa ya kujiunga kwa lazima kwa mtu binafsi; hata awe mwajiriwa wa serikali. Ndio, ni jambo jema linalotakiwa kufanywa na wananchi wote kuyaunga mkono mashirika yetu. Kitu mhimu hapa ni kuweka mkazo mashirika haya yafanye kazi kwa ufanisi. Yakifanya hivyo, hakuna atakayetaka kulazimishwa kujiunga nayo.Namanisha hata mashirika yasiyo ya mawasiliano wanazo Kampuni rafiki za mawasiliano ambazo wanazitumia kwahuduma hizo ikiwemo CUG. Je kwa nini mfanyakazi wa Serikali kuwa na line zenye nasaba na mwajiri (Shirika la Mawasiliano la Taifa (TTCL) inaonekana ni tatizo?!?! Naomba kujua.
Huna sababu ya kunitukana hapa! Kaa ndani ya hoja, kama huna endelea kwa wakati wako.utajitambua.
Nimesema "kama utajitambua,"usichukue neno moja out of context.Huna sababu ya kunitukana hapa! Kaa ndani ya hoja, kama huna endelea kwa wakati wako.
Kufuatilia mawasiliano yaoHiyo Bwerere iko wapi sasa hapo?
Hivi lengo la kutaka kujua namba za mawasiliano ya watu ni nini ukilitafakari kwa undani?
Kuna namna mbili za kumsaidia mtuNimesema "kama utajitambua,"usichukue neno moja out of context.
Ndio maana nimekuambia inategemea kazi unayoifanya pamoja na kupanda kwa gharama za maisha. Sasa kama kazi unafanya, sio kwamba umekaa tu, tena unafanya kitaalam na si kisiasa, na bado gharama za maisha zimepanda, ni haki kuongezwa mshahara. Tatizo uungwaji mkono mnaoutaka ni wa kisiasa na hapo ndipo tatizo linapokuja. Ni rahisi sana kusema maendeleo hayana chama lakini bado tunaweka uchama na siasa kwenye shughuli za maendeleo. Shida kubwa hapa Africa ni kuwa viongozi hawajaweza kabisa kutenganisha siasa na masuala mengine ya utaalam, maendeleo na uwajibikaji.Nyongeza ya mshahara au kupandishwa cheo sio automatic,inategemea utendaji wako wa kazi na vigezo vingine kama mwajiri wako atakavyo ona fit.Let us be serious,mtumishi huko tayari kum-support mwajiri wako kwenye endevours zake za kuwaendeleza wananchi including yourself,endevour ambayo itamsaidia kupata fedha za kukulipa hata mshahara!Jamani bado unategemea mwajiri huyo huyo akuongezee mshahara?!Kama unataka mwajiri wako awe nawe,be with him in times of need.
Asante kwa kutambua kuwa elimu yangu haijanisaidia.Nilitegemea mfanyakazi aone mbali kwa kuwa ana elimu,kumbe elimu haijasaidia.Hivi unaona kwamba TTCL ni biashara per se,no.Kumbuka kwamba TTCL iki-perform vizuri through your support,itatoa gawio kubwa zaidi na hivyo utaiwezesha kukulipa wewe mshahara.Funguka kijana.