Acha ujinga, pesa ya serikali ya vocha inatoka wapi?Ni kweli zoezi halina shida kama mtu hataki kuwa na laini ya TTCL, ni kwamba asichukue pesa ya serikali kwa kununua voucher za mitandao mingine.Ukitaka financial independence, usipende pesa za bure pia.
Kwa ufafanuzi huu kama uko sahihi. Sina shida nakubaliana Mia kwa mia.Na Sina swali wala comment.Naukubali Mia kwa Mia na Sina swali kwa Serikali Wala TTCLNi kweli zoezi halina shida kama mtu hataki kuwa na laini ya TTCL, ni kwamba asichukue pesa ya serikali kwa kununua voucher za mitandao mingine.
Eeeh ndio na nitakukagua usipokuwa nayo nakureport hahahaaSawa, utakuwa unaniwekea vocha?
Ni kweli zoezi halina shida kama mtu hataki kuwa na laini ya TTCL, ni kwamba asichukue pesa ya serikali kwa kununua voucher za mitandao mingine.Ukitaka financial independence, usipende pesa za bure pia.
Naona wewe sio muelewa. Hata hili jambo dogo hujui?Acha ujinga, pesa ya serikali ya vocha inatoka wapi?
Pumbavu zenu
HahahaEeeh ndio na nitakukagua usipokuwa nayo nakureport hahahaa
Ili utumiwe HERI YA MWAKA MPYA na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Joseph Pombe Magufuli, ni furaha ilioje!Hiyo Bwerere iko wapi sasa hapo?
Hivi lengo la kutaka kujua namba za mawasiliano ya watu ni nini ukilitafakari kwa undani?
Kwani huwezi kununua muda wa maongezi kwa T-PESA?Haina shida TTCL imejiandaaje kupeleka vocha zake za muda wa maongezi kwa walimu wa shule za msingi mfano walioko maporini vijijini ambako hawajafika na hawana wakala.Vocha za TTCL dar es salaam tu ukitoka nje ya mji kuzipata shida.Haina tatizo wamefunguliwa soko je wamejiandaa kulimudu? Kwa usambazaji vocha na usajiri wa line hasa maeneo remote vijijini kuliko na wafanyakazi wa serikali?
Lengo ni kuwafanya investors waje kwa wingiHiyo Bwerere iko wapi sasa hapo?
Hivi lengo la kutaka kujua namba za mawasiliano ya watu ni nini ukilitafakari kwa undani?
Nikwawale wanaopewa pesa ya voucher na mwajiri kama Serikali. Kama hupewi pesa ya voucher wewe haikuhusu
Mawakala wa TPesa vijijini na wilayani mikoani unajua waliko au wewe uko dar es salaam na siyo dar nje ya jiji? Nje ya Jiji la dar ulishawahi waona hao mawakala wa TPesa sura zao wanafananaje? Unakaa ofisini ulishatoka nje ya Jiji ukaona hao TPesa wakala?Kwani huwezi kununua muda wa maongezi kwa T-PESA?
Andika kwa Kiswahili na sisi wa buku 7 tuelewe.TTCL NA ATCL are dead, but still walking and not working
Sura za nini kwani nasafiri na ndege za ATCL!....ulishawahi waona hao mawakala wa TPesa sura zao wanafananaje?
Ukiwa huko angani huwa huangalii chini kuona kama wapo au la huwa unakenua tu meno kuangalia angani au?Sura za nini kwani nasafiri na ndege za ATCL!
Ukiwa huko angani huwa huangalii chini kuona kamavwapo au la huwa unakenua tu meno kuangalia angani au?
MTU wa miaka mitano atampaje ajira MTU aliyelitumikia taifa kwa miaka 30 .Tukupe ajira halafu uwe kinyume nasi!Eti "kujiunga nao," wewe ni nani,sio mmoja wetu?Jitafakari.
Wanachoshindwa kuelewa watu wengi ni kuwa mshahara anaopata mtumishi wa serikali si mali ya serikali bali ni mali ya mtumishi, na serikali haipaswi kwa namna yo yote kufuatilia matumizi ya fedha hizo!!Acha ujinga, pesa ya serikali ya vocha inatoka wapi?
Pumbavu zenu