Kumekucha TRA

Kumekucha TRA

Buldoza

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2013
Posts
2,307
Reaction score
986
attachment.php

Habari ndio hiyo. Arrest warrant againt TRA commisioner, Rished Bade, has been issued.
 

Attachments

  • 1417713351958.jpg
    1417713351958.jpg
    65.5 KB · Views: 15,246
Hapo patamu mwisho wa siku kila mtu ataamua kutoa hata siri za wakubwa.
 
Je ni jaji gani yupo arusha? nasikia tangu jana amebanwa
 
hapa ntachangia nin sasa hilo jina la kati limenifanya nisijue nini kinaendelea
 
connet the dots ndugu.........Assad kuteuliwa.......and the story will go on but mwisho ni kama Burkina!
 
connet the dots ndugu.........assad kuteuliwa.......and the story will go on but mwisho ni kama burkina!

hivi kwanini aliekua anakaimu nafasi ya cag hakuteuliwa cag badala yake akateuliwa mtu ambaye alikua nje ya taasisi?
 
hata havieleweki, cna muda wa kusoma mazingaombwe nna mengi ya kufanya,
 
hivi kwanini aliekua anakaimu nafasi ya cag hakuteuliwa cag badala yake akateuliwa mtu ambaye alikua nje ya taasisi?

Jambo lipo mana huyu Assad jana baada ya kuapishwa ametamka eti kufanya tathmini tena kama pesa ni za umma ama la., kuna kamchezo flani ccm wanajaribu cijuwi itaishia vipi hii movie. let c..
 
jambo lipo mana huyu assad jana baada ya kuapishwa ametamka eti kufanya tathmini tena kama pesa ni za umma ama la., kuna kamchezo flani ccm wanajaribu cijuwi itaishia vipi hii movie. Let c..
kuna kitu kinatengenezwa hapa
 
Back
Top Bottom