Mwamba Usemao Kweli
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 744
- 186
Kwa wale waliokimbia sana sakafuni kwenye mbio za urais kwa kutia nia za kuserereka naona hatimaye wamefika ukingoni.
Na ngoma yao waliyoiwamba sanaaaa majukwaani hatimaye inapasuka hivi karibuni.
Team ubwaubwa jiandaeni kisaikolojia.
Na ngoma yao waliyoiwamba sanaaaa majukwaani hatimaye inapasuka hivi karibuni.
Team ubwaubwa jiandaeni kisaikolojia.