Kumekucha, sogea tunong'onezane!

Kumekucha, sogea tunong'onezane!

Aaah wapi..... ivi Munkari unajua joto la papuchi linavisha yai.....sasa kama ni dushe kuungua lingeshaungua siku nyiingi...au wakati wakugegedana ungekuta inatoka harufu ya nyama choma kwa joto lile. Dushe limeumbwa halishiki moto.

hahahaha! Shauli yako!we jifariji tu!
 
Last edited by a moderator:
Hivi mwanamke kama haendi kazini na hana biashara yoyote anahitaji housegirl wa nini?
 
Hivi mwanamke kama haendi kazini na hana biashara yoyote anahitaji housegirl wa nini?

Mwanamke mvivu anakimbilia house girl. Mimi ukinambia unataka house girl wewe ndio utamlipa mshahara, nguo zangu wewe ndio utafua, chumba changu wewe ndio utasafisha, kupika wewe ndio utapika
 
Mom Fay thanks kwa hiyi kitu,campaign yako na utabarikiwa kwayo!its high time now we rejuvinate our marriage life and love!
 
Mwanamke mvivu anakimbilia house girl. Mimi ukinambia unataka house girl wewe ndio utamlipa mshahara, nguo zangu wewe ndio utafua, chumba changu wewe ndio utasafisha, kupika wewe ndio utapika

Mwanamke ambae yuko bize ni haki kutafuta housegirl lkn wa nyumbani uvivu tu
 
"...Sasa ngoja nikunong'oneze bibie mwanaume ni kama mtoto wala huitaji kukoroga lumbwata!! Anapenda kudekezwa,kusikilizwa,kuheshimiwa,mambo madogo madogo ya ndani ndo ufanya hata lile tendo la ndoa kunoga...."

Dah! sasa kama ndo hivyo mbona na mimi napenda hayo uliyotaja hapo? Si bure niko singo! Halafu nilifikiri kwenye familia mume ni mfalme, mke ni malkia, housegirl ni mtumishi wao. Kumbe siyo! Sasa mbona nina mpango nikiolewa nikachukue housegirl veta (anayeyajua mapishi na house keeping kwa ujumla) kumbe ndo ntakuwa naleta mkemwenza? Basi majanga! Haya, ngoja niendelee kupata kichen pati hapa. MMU idumu daima.
 
Nina rafiki yangu jana kaniambia anasubiri mwanae aanze kutembea amuache huyo mzazi mwenzie...mwanamke kisirani toka qmejifungua na kazi zote anafanya housegal yeye analala tu.

aya sasa usikute ndo kwanza mtt wa kwanza?akizaa na wa pili je?
 
Dah kweli ujue! Kuna jirani yangu hapa mvivu balaa jana wameshindia chips za kibandani familia nzima mchana na usiku,afu ni vuvuzela hakiyanani mmmewe mvumilivu!!

apo uchumi hauwez kupanda aisee..kula kiepe sio vibaya ni kubadilisha menu nyumban kwako lakin mwanamke shart uzipke mwenyewe then watengee watoto wako km unao na mmeo..sio kwenda kununua vibandani mwishoe muumwe matumbo khaaa!!
 
"...Sasa ngoja nikunong'oneze bibie mwanaume ni kama mtoto wala huitaji kukoroga lumbwata!! Anapenda kudekezwa,kusikilizwa,kuheshimiwa,mambo madogo madogo ya ndani ndo ufanya hata lile tendo la ndoa kunoga...."

Dah! sasa kama ndo hivyo mbona na mimi napenda hayo uliyotaja hapo? Si bure niko singo! Halafu nilifikiri kwenye familia mume ni mfalme, mke ni malkia, housegirl ni mtumishi wao. Kumbe siyo! Sasa mbona nina mpango nikiolewa nikachukue housegirl veta (anayeyajua mapishi na house keeping kwa ujumla) kumbe ndo ntakuwa naleta mkemwenza? Basi majanga! Haya, ngoja niendelee 《《kupata kichen pati》》》 hapa. MMU idumu daima.

hahaa kchen pat ya bila vyombo ...

Mom Fay tupe vyombo vyetu ushatufunda mbn vyombo nehyii
 
Mimi si domesticated kabisa yani! Halafu nikaoa mke mwenye kazi inayokeep busy hasa...
What I thank God mpaka kesho. Ni kuwa mke wangu ni domesticated sana. She does everything perfectly. Tukiwa home wote namsaidia lakini kidogo , zaidi ni kumstorisha tu. Ukiwa na mwanamke wa hivi, maisha yanakuwa marahisi sana
 
Back
Top Bottom