political monger senior
JF-Expert Member
- Nov 26, 2020
- 1,951
- 6,399
Sidhani kama alizoweka mezani ni zake!Hao waliomshawishi wamlipie hizo zilizobakia...
Release clause ipo duniani koote, shida ya yaga kwenye mkataba walibugi kidogo, wakaweka milioni 100 plus na mishahara ya miezi mi3, ila wangeweka bilioni wangepata zaidi, raisi ndio alizingua zaidi kusema wamalizane kiubinadamu. Kwenye biashara hakuna hiyo.Kitu walicho kosea Azam ni kutangaza kiasi Cha pesa, Hakuna pesa utakayo tajwa watu wakashindwa kulipia.
Kama kweli wanahitaji kiasi icho, wiki haitamalizika iyofedha watapewa.
Wakati wa sakata la Feisali, tulionya mamlaka (TFF) mchezo huu wanao Fanya Azam utakuja kuleta shida kubwa uko tunako elekea Tena katikati ya msimu, ndio hiki kinacho tokea.
Kama walivyo umia Yanga kwa kumuachia Feisal wakiwa wanamuhitaji katika mashindano Magumu na wakatoboa.
Na wengine watapitia njia iyoiyo mpaka Tff watakapo kuja na Suluhisho la kudumu.
Na kitu kizuri zaidi huu ni mwanzo Tu...Kitu walicho kosea Azam ni kutangaza kiasi Cha pesa, Hakuna pesa utakayo tajwa watu wakashindwa kulipia.
Kama kweli wanahitaji kiasi icho, wiki haitamalizika iyofedha watapewa.
Wakati wa sakata la Feisali, tulionya mamlaka (TFF) mchezo huu wanao Fanya Azam utakuja kuleta shida kubwa uko tunako elekea Tena katikati ya msimu, ndio hiki kinacho tokea.
Kama walivyo umia Yanga kwa kumuachia Feisal wakiwa wanamuhitaji katika mashindano Magumu na wakatoboa.
Na wengine watapitia njia iyoiyo mpaka Tff watakapo kuja na Suluhisho la kudumu.
Hajawahi maliza msimu bila pancha huyu[emoji599]| PRINCE DUBE UPDATES
[emoji617] Mazungumzo kati ya Azam na Striker wao, Prince Dube yanaendelea ambapo Azam wanahitaji kiasi cha USD 300,000 sawa na Tsh 765M ili kumuachia mchezaji huyo huku Prince Dube akiwa tayari kulipa kiasi cha USD 230,000 sawa na Tsh 586M ili aweze kuondoka kwa Matajiri wa Chamazi.
[emoji617] Kilichotokea ni Azam kukataa kiasi cha USD 230,000 ambacho Prince Dube alihitaji kulipa na Prince Dube hahitaji kurudi kambi ya Azam kwakuwa anataka kuondoka klabuni hapo, Azam wanasisitiza kuwa bila USD 300,000 hatamuachia Prince Dube.
[emoji617] Mazungumzo kati ya Azam na Prince Dube yamefikia hatua hiyo na Prince Dube atarudi tena mezani na Azam siku mbili zijazo ili kukamilisha taratibu zote zilizopo za kimkataba ili aondoke Azam.
View attachment 2925745
Huu sio utaratibu wa mpiraKama mkataba unasema ni usd 300k alipe hiyo hela aende kwa amani, tuheshimu mikataba.
Kwani Fei alizoweka kwenye akaunti ya Yanga zilikuwa zake????!!!! Azam walimshawishi Fei aondoke Yanga. Walimshawishi kinyume cha taratibu za FIFA kwani alikuwa bado na mkataba na Yanga. Hakuna chombo cha habari kilichoenda zaidi ya hapo kwa kile kilichoonekana kuwa ni kuhongwa wasilizungumzie hilo.Sidhani kama alizoweka mezani ni zake!
Fungu tayari wameshaweka mezani..watu wapo serious sanaHao waliomshawishi wamlipie hizo zilizobakia...
Wajanja wa kariakoo wamempa akawalipe azamSidhani kama alizoweka mezani ni zake!
Dohhh azam wajipange kuna timu ya apo kariakoo nimesikia inataka kuwa kama Real Madrid yani iwe na galacticos tupuNa kitu kizuri zaidi huu ni mwanzo Tu...
Nina habari za uhakika Kipre nae atafanya hivi ni swala la Muda Tu ngoja Hili la Dube liishe linakuja kubwa zaidi.. [emoji16]
Muosha huoshwaKweli Yanga wana akili kubwa.
wamemshawishi na kumrubuni Duba afanye hivi, ili asiwepo kwenye mechi yao na Azam wiki ijayo!.
afu yule akaminko yuleee!!!!Na kitu kizuri zaidi huu ni mwanzo Tu...
Nina habari za uhakika Kipre nae atafanya hivi ni swala la Muda Tu ngoja Hili la Dube liishe linakuja kubwa zaidi.. [emoji16]
Yule ndio mbadala wa Auchoafu yule akaminko yuleee!!!!
haya,ngoja tuone