hauko sahihi 1/25000 ikiwa katika interview atahitajika mtu mmoja tuu. Kulikuwa na nafasi zaid ya 250 hivo katika interview wanaweza kuitwa watu karibia 1000 hivyo probabiliy ya kuitwa katika interview itakuwa approximately 1000/25000 i.e 1/25 yaani katika kila watu 25 walioomba ataitwa mtu mmoja tuu,