Zote ni point!!!!!!!!!!!!!!!!!1View attachment 2987538
Nimemsikiliza kwa makini sana Mbunge Joseph Kasheku (Musukuma) akizungumza bungeni alipopewa nafasi.
Japo mimi si mpenzi wa mbunge huyu lakini hata saa mbovu ukutani, kuna wakati unaweza kuitizama na kukiri inasema kweli.
Najua hata mimi si mpenzi wa wana JF wengi lakini nawaombeni mumsikilize kwa makini kama nilivyofanya halafu muamue wenyewe.
Angeongea haya Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Mh. Tundu Antiphas Lissu wala nisingehangaika kuleta aliyosema humu.
kuna wako wanaojuana kwa mihemko as uniform, utacheka wakijiasemble 🤣Hahahahahaha CCM wanajuana wenyewe, akili zao wanazijua. Wakiongea utadhani ni watu wa maana sana kumbe hamna kitu.
Ameongea point mhimu zote isipokuwa nampinga kwa wezi hao kupewa adhabu ya kwenda jela kuganyishwa adhabu ya kulima
Hoja ya mwizi akatumikie adhabu kwa kulimishwa, inatudhalilisha wakulima na kuonekana sisi tunatumikia adhabu hapa duniani
Mwizi anyongwe na ama aogelee viboko kila siku
Je umesikiliza hotuba yote? Mbona kaongea siku 3 tu zilizopita?Mkuu mbona una let habari za miaka 47
KADCO ni kampuni ya mtu binafsi hapa Tanzania sijui ni nani.🤣🤣🤣🤣View attachment 2987538