Kumekucha Msimbazi mashabiki wataka MO awaachie timu yao

Wanahela hata ya kufikisha timu mtwara au wanalishwa matango pori na kingwangwala? Mtamkumbuka Sana babra, mlimpiga vita kuwa anathibiti fedha za kuwapa " wazee wa timu" na wavivu wengine wanaotegemea timu kuishi mjini
Acha nadharia za ajabu watu wanaposema ukweli, kwahiyo huyo Mo anatoa pesa Simba Kama msaada?. Watu wqnachangia mapato ya timu kupitia bidha za simba, kadi za timu na michango mingine kwahiyo Mo hatoi hisani Simba anafanya biashara inayomlipa sema ni tapeli.... Wachezaji wanabeneshwa visado vya sabuni Mara kutangaza biashara za Mo yote hiyo ni biashara zake.
 
Simba ina wachezaji hewa wengi ambao ni nzige kwenye timu.

Waondoe wale wote wanaolipwa pesa nyingi, wajipange upya.

Haiwezekani bajeti iwe 13bl afu kuvurunda tu
 
Bajeti gani? Nani wa kutoa ayo matumizi ya 13b uyu uyu chakorii kanji ndio atoe izo hela
 
Acha nadharia za ajabu watu wanaposema ukweli, kwahiyo huyo Mo anatoa pesa Simba Kama msaada?. Watu wqnachangia mapato ya timu kupitia bidha za simba, kadi za timu na michango mingine kwahiyo Mo hatoi hisani Simba anafanya biashara inayomlipa sema ni tapeli.... Wachezaji wanabeneshwa visado vya sabuni Mara kutangaza biashara za Mo yote hiyo ni biashara zake.
Mwambie uyo eti anadai timu inapata hasara cha ajabu kajaza mitangazo yake kibao kwenye jezi yani simba imekuwa kama timu za brazil jezi yote matangazo alafu anakuja kusema kuwa anapata hasara..
 
Mashabiki hao = Wauza magazeti buza
Kanji bai atuachie timu yetu..tukiongea ukweli utasikia eti hoo mnajua chama analipwa bei gani ayo ni mawazo ya kitoto ivi kwa stage aliyofikia simba kuna tajiri gani apa africa ambae atotaka kuwekeza simba.
 
Acha nadharia za ajabu watu wanaposema ukweli, kwahiyo huyo Mo anatoa pesa Simba Kama msaada?. Watu wqnachangia mapato ya timu kupitia bidha za simba, kadi za timu na michango mingine kwahiyo Mo hatoi hisani Simba anafanya biashara inayomlipa sema ni tapeli.... Wachezaji wanabeneshwa visado vya sabuni Mara kutangaza biashara za Mo yote hiyo ni biashara zake.
Acha upumbavu kwani Mo ni mmiliki wa Simba ?
Hivi mnavyo mlaumu Mo kwa kila kitu ndani ya simba hao wanachama wanao miliki Asilimia 51 ya hisa za klubu wana kazi gani?

Mo ni mwana hisa ndani ya Simba anaye miliki hisa asilimia 49 hivyo sheria ina mtaka kuchangia asilimia ya pesa kulingana na hisa anazo miliki kwa ajili ya klub, na wana chama wanatakiwa kutoa asilimia 51 na moja ya pesa kwa ajili ya kuendesha klabu.
 
Hivi ninyi Washabiki wa Simba Mo akiondoka si tunarudi kule kwa kwa Kaduguda kununualia wachezaji Chapati huku Yanga wanatesa na Manji wao.

Ngoja siku akitoka mtamkumbuka sana, hata yeye anatamani kuondoka timu uswahili mwingi na kuendekeza makundi na kutaka upigaji.
Simba ikiwekwa sokoni itanunuliwa Tena fasta tu. Tuache kutishana!

Enzi hizo za Kaduguda , ilikuwa hivyo kutokana na mfumo wa uendeshaji ulivyokuwa.
 
Wanapiga tu kelele hakuna wanachoelewa, ngoja siku akiondoka wataelewa. Huwezi kutenganisha mafanikio ya Simba kimataifa na MO
Kwani Kuna anayekataa Hilo?

Simba Ina maendeleo kimataifa bado haina mafanikio.
 
Acha upumbavu kwani Mo ni mmiliki wa Simba ?
Hivi mnavyo mlaumu Mo kwa kila kitu ndani ya simba hao wanachama wanao miliki Asilimia 51 ya hisa za klubu wana kazi gani?

Mo ni mwana hisa ndani ya Simba anaye miliki hisa asilimia 49 hivyo sheria ina mtaka kuchangia asilimia ya pesa kulingana na hisa anazo miliki kwa ajili ya klub, na wana chama wanatakiwa kutoa asilimia 51 na moja ya pesa kwa ajili ya kuendesha klabu.
Dundukwa hili vipi tena.
 
Back
Top Bottom