Kumekucha: Mexico yatoa maombi ya kujiunga na brics

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,190
Reaction score
24,620
Mexico imevutiwa na muungano wa BRICS na imetoa maombi ya kujiunga.

Naona kifo cha Dola na Ubeberu wa Washington kinafuata

Watu wengi hawaelewi dhamira ya Russia kupigana kwa kurelax huko Ukraine anajua afanyalo, jamaa anarefusha hiyo vita akijua kabisa wanaoumia ni West na hii vita anaitumia kama silaha kwa mataifa ya Ulaya yaanguke.

Ulaya wana hali mbaya kila siku maandamano na bado brcs ndo hiyo kifo cha ubeberu kinakuja rasmi
 
MEXICO YATOA MAOMBI YA KUJIUNGA NA BRICS .

Mexico imevutiwa na muungano wa BRICS na imetoa maombi ya kujiunga.

Naona kifo cha Dola na Ubeberu wa Washington kinafuata

Watu wengi hawaelewi dhamira ya Russia kupigana kwa kurelax huko Ukraine anajua afanyalo, jamaa anarefusha hyo vita akijua kabisa wanaoumia ni West na hii vita anaitumia kama silaha kwa mataifa ya Ulaya yaanguke

Ulaya wana hali mbaya kila siku maandamano na bado brcs ndo hiyo kifo cha ubeberu kinakuja rasmi
Tuliwaambia KENGE WA NATO NA NGURUWE WA USA HUMU kuwa NO MORE USA AND NATO IN THIS WORLD....wewe jiulize baada ya miaka mitatu tu kutoka sasa watu watakimbizana kujiunga BRICS kama kimbunga ......ukweli USA amejitia kidole mwenyewe is too late kwake kuweza kulekebisha
 
Mkishakula mlenda mkashiba huwa mnajiona ni wachumi wa kimataifa.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Kinachoibeba western countries geographical wako karibu na ndo kinachowabeba
Njoo kwa brics geographical haiwa-favi kabisa
Ila Wana Advantage zao na wao kama vile kuwa na maeneo ama population kubwa kwenye Mabara yao.

Russia nchi yenye watu wengi Ulaya, China na India watu wengi Asia, Brazil watu wengi South America hizi Nchi ni kama Nchi 5 ama 10 kwa pamoja.
 
Hakuna cha BRICS wala nini, hao bado wako chini ya USA Brazil hawezi kwenda kinyume na baba wa dunia
 
Ila Wana Advantage zao na wao kama vile kuwa na maeneo ama population kubwa kwenye Mabara yao.

Russia nchi yenye watu wengi Ulaya, China na India watu wengi Asia, Brazil watu wengi South America hizi Nchi ni kama Nchi 5 ama 10 kwa pamoja.

USA bado ataendelea kurun dunia anavotaka, if akili za wanao pambana na USA ndo ziko kama za hawa majamaa
Mfano mexico asilimia kubwa ya uchumi wake unategemea usa alafu unaenda brics
Same apply kwa china uchumi wake anafanya biashara yenye faida kubwa na western countries na sio na brics

Ukiangalia brics ni more political organization kuliko mambo ya kiuchumi
 
Ukisikia kujitapa tapa ndo huko, USA level nyingine walitumia miaka kuimiliki dunia, alafu unakuta mtu anakurupuka et Mexican iangushe dollar?
 
Safi sana, hawa masheitwani wavaa pampas mpaka watupigie magoti safari hii
Wewe upigiwe magoti na nani au umechanganyikiwa bwashee, wewe unayelishwa kwa msaada wa waume wako USA ndo upigiwe magoti, takataka ambaye ujui chochote duniani, unakopa kwao uje ujenge choo, darasa, barabara, uchimbe maji, hivi una kiwango cha elimu bwashee, et hawa ndo wamejiunga BRICS kushusha dollar
 
Back
Top Bottom