mtimawachi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 2,106
- 3,158
Naona umechanganya,sijawahi kopa benki yoyote ile,ijekuwa marekani!!?Wewe upigiwe magoti na nani au umechanganyikiwa bwashee, wewe unayelishwa kwa msaada wa waume wako USA ndo upigiwe magoti, takataka ambaye ujui chochote duniani, unakopa kwao uje ujenge choo, darasa, barabara, uchimbe maji, hivi una kiwango cha elimu bwashee, et hawa ndo wamejiunga BRICS kushusha dollar
USA hajawahi nilisha napambana shambani kifuku na kiangazi,nauza mazao na chakula najipatiamo.
Habari za vyoo nadhani hilo ni la akina SAMIA