Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 16,505
- 41,014
Mtungi kwa ujimla ni zero kabisa. Siyo kwaajili ua suala la CHADEMA lakini kwa mambo mengi. Sidhani kama ana akili iliyokamilika.Bavicha watasema unaandika kutokea Lumumba

kumbe na wewe ni bure hivi?Bavicha watasema unaandika kutokea Lumumba
Kivipi jombaa?kumbe na wewe ni bure hivi?
Duru zinatabanaisha kuwa kesho mchana msajili wa vyama vya Siasa atazungumza na vyombo vya habari kuhusu mambo kadha wa kadha.
Kikubwa hasa kinachotarajiwa ni kuhusu ukomo wa Viongozi wa kuchaguliwa wa Chadema na tayari mda wa wao kuwa katika nafasi zao ulishakoma.
Sasa msajili ataamuaje!?Tega sikio.

Bila shaka haya ni maagizo kutoka juu!!
Nitamuona wa maana kama ataongelea/atakemea kitendo kilichofanywa na Naibu Spika kule Mbeya japo pia anaweza kuongea kama zuga tu ila lengo halisi likawa ni hilo la uchaguzi wa CHADEMA.
Yawezekana vyama vya siasa mtavivuruga lakini je nguvu ya umma nayo mtaivuruga? Mna upinzani na wananchi sio vyama vya siasa ACHENI KUWEWESEKA MITAANI WANAKUONENI HAMNAZODuru zinatabanaisha kuwa kesho mchana msajili wa vyama vya Siasa atazungumza na vyombo vya habari kuhusu mambo kadha wa kadha.
Kikubwa hasa kinachotarajiwa ni kuhusu ukomo wa Viongozi wa kuchaguliwa wa Chadema na tayari mda wa wao kuwa katika nafasi zao ulishakoma.
Sasa msajili ataamuaje!?Tega sikio.
Chadema watafanyaje uchaguzi wakati polisi wanazuia mikusanyiko? Mie nashauri Msajili ateue Kada wa CCM kuwa Mwenyekiti wa Chadema hakuna kunachoshindika chini ya ccmDuru zinatabanaisha kuwa kesho mchana msajili wa vyama vya Siasa atazungumza na vyombo vya habari kuhusu mambo kadha wa kadha.