Bhikalamba
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 2,339
- 3,358
Hawajaiona hiyo post eti sauti ni ndogoNo Reforms No Election 🔥!
Vilaza wa Samia watabisha! 😂🤓🤠
Hahahaaa hawamuwezi huyo. Jamaa wameamua kutokuwa wanafiki wala wachumia tumbo.Kesho atahojiwa uraia wake
No Reforms No Election 🔥!
Vilaza wa Samia watabisha! 😂🤓🤠
🤷Kwahiyo wewe unaamini itauuwa hivyo🙄
Itauuwa nini?Kwahiyo wewe unaamini itauuwa hivyo🙄
Wewe ni nani usiamini?Kwahiyo wewe unaamini itauuwa hivyo🙄
Nahisi wasiojulikana wapo kwenye kikao.Wewe ni nani usiamini?
Ulinzi Kwa Baba Askofu tafadhaliNahisi wasiojulikana wapo kwenye kikao.