Kumekucha CUF: Maalim Seif ampiga Marufuku Lipumba kwenda Zanzibar, aandaa ulinzi Makao Makuu

Vipi mbona makao makuu ya Buguruni hakuyalinda? CUF kwa vyovyote itameguka na kuwa vyama viwili tofauti kimoja cha bara na kingine cha Zanzibar
 
lipumba baada ya kufanikiwa kuji defend bara anataka akawamalize sasa zanzibar daaah kweli siasa mchezo mchafu
 
Vipi mbona makao makuu ya Buguruni hakuyalinda? CUF kwa vyovyote itameguka na kuwa vyama viwili tofauti kimoja cha bara na kingine cha Zanzibar
Hilo ndio lengo la ccm na taarishi wao lipumba , hata hivyo wameshindwa vibaya sana !

Shukrani kwa waliotoa siri hii .
 
lipumba baada ya kufanikiwa kuji defend bara anataka akawamalize sasa zanzibar daaah kweli siasa mchezo mchafu
Sema polisi baada ya kujaribu kuhujumu cuf bara bila mafanikio wanataka kujaribu Zanzibar .
 
Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad leo ameitisha mkutano na wafuasi wake na kuwataka kuanza kujitayarisha kuyalinda Makao Mkuu ya chama hicho yaliopo Mtendeni Zanzibar.

Chanzo: DW

Mkuu, nimeshituka kusikia Maalim akikiri kwamba Professor anao wafuasi vijana wengi tu Zanzibar wanaomuunga mkono. Hii imekuwa tofauti name tulivyokuwa tukiaminishwa! Kweli mficha maradhi kifo humuumbua
 
Back
Top Bottom