Kumekucha Arumeru


umetumwa kupima upepo?kwa jinsi ninavyowajua magamba urejeshwaji wa kadi za cdm ungepata covarage kubwa sana tbc.pia nikusaidie kitu wameru wanamsimamo mwigula hana ushawishi kwa wameru hata kidogo.
 
ndo huyu jamaa aliyekamatwa anamla mwanakondo wa kada mwenzake kule igunga? aisee wana CCM Arumeru fungieni wake zenu jamaa ni Nomaaa......nomaaaa.......
 
Iache ngano na magugu vikue pamoja mpaka hapo atakapokuja Bwana wa Mavuno.
 
kuijua mitaa ya arumeru sio kigezo cha kutoa mada ya uongo acha ubwege wewe kama mapenzi yako kwa magamba ni yako tu usiusemee umma wa wa arumeru yambaaff!!!

sasa wewe na yeye Bwe ge nani? Mtoa Mada ana siku 4 tu Arumeru halafu kajaza upupu na wewe unashadadia. Je unafahamu vizuri maeneo aliyoyataja?
 

ee mungu rudisha madaktari kazi ili wawatibu wenye mtindio wa ubongo kama huyu jamaa nadhani analo hilo tatizo au malaria imempanda kichwani
 
Hongereni CCM kwa kupokea wanachama kutoka CDM lakini tambueni kuwa tangulieni tu lakini bado hamjafika popote na 2015 sio mbali.Na Chadema haijajikita ktk kuchukua majimbo kama unavyotafsiri bali kutoa elimu ya uraia.Huwezi kumkomboa mtu bila kumfanya ajitambue na hapo ndipo chadema inazingatia.Chadema ni wananchi na si kikundi cha wezi kama walivyo Magamba....!
 
nikibahati kwenda arumeru wiki mbili zijazo nitawaletea full data na picha ya hali ya arumeru ilivyo na si hii ya kusadikika
 

Acha uongo ndg yangu, mi mbona ni mwenyej wa mitaa hyo na hakuna hyo mambo? Af ungejua ccm ilvochakaa mitaa hii, ungekaa kimya kabsa, kilala na makumira na usa river na mchai ndo usjarib kutaja ccm wala kuvaa kijan na njano! Nyoooo.... Mwone.!
 

Aaah mkuu hao wenzio walishaamka long time sana''
 
Arusha ipi?zaid ya hii wenyeji tunayoijua
 
Usafi wa dume la mende barabarani lakini analala juu ya kinyesi..
 

Kwa tahadhari tu, huyu jamaa ni afadhali asiende huko Arumeru, wakimjua ndiye aliyeleta ghasia yote kule Igunga sidhani kama atarudi. Lazima atamiminiwa mawe au watamchemshia maji ya moto. Hawezi kuwapa vidume kazi ya kulinda wake zao wakati wanakazi za kufanya.
 
mm napita ila nauhakika CCM watakwangua kura jimbo hilo
 
Mwigulu, jamaa anatisha wenye ndoa zenu kaeni macho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…