Dume la Mende
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 423
- 66
Wakuu nipo hapa Arusha siku ya 4 sasa na nimetembelea sehemu kadha wa kadha. Hakika CCM wako vizuri sana kwani baada ya Bw. Mwigulu kupita huku, vijana wamerhamasika kupita kiasi na wengi wamerudisha kadi zao za CDM. Pita maeneno ya Kikatiti, maji ya chai,Usa, Leganga, Kilala, King'ori, Ngarenanyuki,, kwa Pole, Maroroni,Ngurdoto kote hukpo wimbo ni CCM tu. Si dalili nzuri kwa upinzani hasa kuelekea uchaguzi mdogo
Taarifa Hewa!Wakuu nipo hapa Arusha siku ya 4 sasa na nimetembelea sehemu kadha wa kadha. Hakika CCM wako vizuri sana kwani baada ya Bw. Mwigulu kupita huku, vijana wamerhamasika kupita kiasi na wengi wamerudisha kadi zao za CDM. Pita maeneno ya Kikatiti, maji ya chai,Usa, Leganga, Kilala, King'ori, Ngarenanyuki,, kwa Pole, Maroroni,Ngurdoto kote hukpo wimbo ni CCM tu. Si dalili nzuri kwa upinzani hasa kuelekea uchaguzi mdogo
Valia nguo ya chichiem upite anga hizo ulizotaja!
Siyo unapita ukiwa kwenye gari lako halafu unawachungulia watu ukiwa ndani ya kiyoyosi.
Hapo kaka ni sawa na kumpigia mee gitaa! Hatudanganyiki, hiyo ni POROJO tu.Wakuu nipo hapa Arusha siku ya 4 sasa na nimetembelea sehemu kadha wa kadha. Hakika CCM wako vizuri sana kwani baada ya Bw. Mwigulu kupita huku, vijana wamerhamasika kupita kiasi na wengi wamerudisha kadi zao za CDM. Pita maeneno ya Kikatiti, maji ya chai,Usa, Leganga, Kilala, King'ori, Ngarenanyuki,, kwa Pole, Maroroni,Ngurdoto kote hukpo wimbo ni CCM tu. Si dalili nzuri kwa upinzani hasa kuelekea uchaguzi mdogo
Wewe ni mwongo mangi, mitaa yote ulotaja jaribu kupita na nguo ya kijani kama utapona? Watu wamechoka labda uende ngabobo ndio unaweza kukuta wanachama magamba.
Kwa siku 4 huwezi zunguka kote huko meku, hizo ni propaganda, mmeanza kwa kurepea barabara sasahivi tena ile ya nkoaranga lakini cha ajabu mmeambiwa bendera zenu za kijani mshushe.
Arumeru hakuna anaetaka kusikia CCM na aliewaharibia zaidi mbali na mabovu yenu ya kawaida ni Kimaro.