Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,510
- 28,416
Ni utu uzima tu, hata wewe utakapozeeka uatapata sura ya kutisha, na wajukuu wanaweza kukukimbia; na baadhi ya majirani wataweza kukuita mchawi. Ni mapito ya maisha tu ndugu yangu. Lakini kumbuka, ng'ombe hazeeki maini.
Museven hajua sheria ya suti.
Natazama mikono yao tu!
JK kawafunika viatu
JK simp.............ila viatu kafunika mbaya mbovu aisee
Kweli Mkuu, viatu vimeenda shule.
museveni na kabila wamevaa mibuti kama mgambo!!!kweli hawa wanajeshi..dah
Kweli Dada JK ni fashionista, viatu hivyo balaa.
museveni na kabila wamevaa mibuti kama mgambo!!!kweli hawa wanajeshi..dah,halafu kama umenotice kitu wote wamevimba vifua ikimaanisha wamevaa bullet proof vests,.they have one thing in common"wote wamechakachua chaguzi zao kwa kiwango cha kimataifa"
hii nayo mwasemaje? naona poa
Duh ila sio siri wakuu sura ya kibaki inatisha aisee.............