Kumechisha suti. JK na Mzee Mwaikibaki,

Ni utu uzima tu, hata wewe utakapozeeka uatapata sura ya kutisha, na wajukuu wanaweza kukukimbia; na baadhi ya majirani wataweza kukuita mchawi. Ni mapito ya maisha tu ndugu yangu. Lakini kumbuka, ng'ombe hazeeki maini.

Mh ila nahisi kuna watu wamezaliwa na sura kama za ina Kibaki aisee
 
8E9U8482.JPG

Ajabu nyingine ni kwamba wote wana vifua vipana na miguu fito! Au wamevaa 'ngao' vifuani kwa kutojiamini?
 
Wetu ana matege sijui..?cheki buti la museveni yaaani kama la jeshi
 
museveni na kabila wamevaa mibuti kama mgambo!!!kweli hawa wanajeshi..dah,halafu kama umenotice kitu wote wamevimba vifua ikimaanisha wamevaa bullet proof vests,.they have one thing in common"wote wamechakachua chaguzi zao kwa kiwango cha kimataifa"

HA ha ha ha ha hapo blue nimechekaje mimi???
 
tuseme viongozi wa afrika mashariki hawajiamini?
wote bullte proof huku wako na walinzi wao
kwanini hawajiamini?
kama wanatenda na kuongoza kwa haki mabullet proof ya nini wajamini?
 
Rais wangu mbona anapenda nchoma kumoyo aka viatu vya kuchongoka, nani ni designer wake amshauri? Asipovaa vya kuchongoka basi atavaa viatu vyenye shingo pembeni vina zipu du haya labda mie mshamba nimepitwa na katalogy
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom