Kumdhalilisha Mpenzi/Mke/Mme

well said bro....
 
Simu yangu ni my own property. Na yake ni yake.
Siigusi simu yake, she doesn't touch mine.
Thats our agreement and it works.
We are happy with our contract.
No one will break it. Ever!



Thats a very good principle and healthy one.......lol......
 

its a good idea mazee
 
<br><br>its a good idea mazee
 
its a good idea mazee

Unajua mkuu.....wanaume wengi sana tunafanya makosa kudhani kwamba wanawake hawana akili au akili zao ni ndogo wakati wanawake kibao wana akili sana na ni smart kutuzidi. Kwa ufupi huyu jamaa ni idiot...Na kama mwanamke ni smart...basi jamaa asubiri maumivu kama alivyodokeza Baba Enock!

Kwani ni mara ngapi kwenye mambo hayo mwanamke anakupa escape route mpaka unashangaa? Huyu jamaa bora arudi jandoni mapema kabla hajafa akamwacha huyo mke wake...na watu wakatesa naye kwa uhuru zaidi!!
 
Kama alishawahi kwenda, siyo mzee mwenzangu?
 
Kama alishawahi kwenda, siyo mzee mwenzangu?

Kweli mzee mwenzangu...nadhani huyu jamaa ali-skip...Alidhani kupiga juu kwa juu ni rahisi ki hivyo!! Ila natamani nimwone anavyokumbatia au kuatamia simu za mke wake!!!
 
Dah huo ni udhalilisha mkubwa, mkuu mweleze anajaribu kutengeneza uvunjifu wa uaminifu hapo akatokea mwanaume wa kumpa faraja. Atamlaumu nani?
 
Anaiita presha kwa nguvu kweli huyo kilaza. Sipati picha akiwa na hiyo cmu ya mkewe halafu ikaita naona anairukia kwa uchu wa kufumania akikuta sie anatamani kum2kana aliyepiga kama anamjua. Mwambie aandike wosia kabisa maana soon ata R.I.P kwa presha.
 
Inabifi ifike wakati tuache kutumia simu..Yani hizi presha za kila siku kwa hii teknolojia tunaelekea pabaya!

Kuna wanandoa nawafahamu, hawa wana simu ya nyumbani tu. Hamna mwenye personal mobile, wako very okay!!
 

Yaani hisi zimu zimeonesha jinsi wanaume wengi tulivyo wapuuzi na tusivyojiamini katika mambo ya mahusiano. Kuna jamaa mwingine kafunga simu zake zote ila anaona fahari na kana kwamba ni haki kukagua simu ya mke wake wakati wowote anapotaka!!

Nakaribia kukubaliana na msimamo wa Mzee mwenzangu Asprin (ASA) ingawa siupendi kwani unaonesha kuwa watu wanakuwa mwili mmoja kwenye baadhi ya vitu...LOL!!
 
Inabifi ifike wakati tuache kutumia simu..Yani hizi presha za kila siku kwa hii teknolojia tunaelekea pabaya!

Kuna wanandoa nawafahamu, hawa wana simu ya nyumbani tu. Hamna mwenye personal mobile, wako very okay!!

Yaani hawa hawako OKAY kabisa yaani wivu wao na kutokujiamini wanaishi karne iliyopita mobile phones maana yake unaweza ukawa na mawasiliano popote pale na wakati wowote sasa wakipata shida njiani ya kumwambia mwenza wao watasemaje?

Yaani watu wanasingizia simu ndio zimeleta shida lakini ukweli ni kwamba watu wenyewe ndio walikuwa hawajatulia simu zimewapa opportunity mpya ya kutenda issue zao...,
 
swahiba, and that is my spirit...

this dude anatudhalilisha and i hope anaingia JF.... ukimuona huwezi amini

MTM.........this is very interesting pains!! yaani huyu jamaa yako dah hata sijui nianzie wapi.....najiuliza
1. Je alishawahimfumania mkewe au kuona dalili ya ukosefu wa uaminifu?
2. Kama hajawahi ilikuwaje akaoa mke asiyemwamini?
3. Nina wasiwasi kuwa yeye ndiye mchafu wa tabia na anajua kabisa namna wake za watu wanaotoka nje ya ndoa zao na pengine naye anahusika so anahisi kuwa na mkewe naye anafanya ayafanyayo yeye!!
 
Kanakera sana hako katabia. Wengine kujibizana mbele za watu wanakera.
 
mambo gani hayo ya kishamba!!! kama mamito anachakachua atafanya tu hata kama hana simu, wangapi tunawaona huku mitaani?
 
mambo mengine haya too much... usikute huyo mume yeye ndo msaliti...
ila mambo mengine ni bora kuwekana wazi na kujua misimamo kipindi cha awali...
simu ya mkononi ya mtu unakaa nayo siku mbili ili iweje? ufumanie? khaaaa!!! mwanaume wa aina hiyo ukute hata simu yake uigusi!!!!

udhalilishaji mwengine huu
aibu kabisaaaa
mapenzi si
 
Last edited by a moderator:

Kweli MJ1....Yaani mwaizi hamwamini mtu mwingine yeyote duniani. Mbaya zaidi wakati mwinginea anashindwa hata kujiamini yeye mwenyewe!!
 

Umeona ehhhhh,

Unajua watu wengine wanadhani kwa kufanya hivyo wanawakomoa wanawake..Ila ukweli ni kwamba wanajidhalilisha wenyewe!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…