Igwe... inasikitisha sana, when you look at the guy, huwezi amini upumbavu anaoufanyaHuyo rafiki yako ni mgonjwa na anahitaji maombi ya kufunga,.....kukaa na simu ya mkeo kwa siku mbili maana yake ni kwamba mkewe hana mawasiliano kwa muda wa siku hizo zote,...anyway-the simple solution ni bora amwambie mkewe asiwe na simu ili watumie ya kwake,....uuuuuuuuuuuh!..puuuuuuuuuuuuuuuf
to be honest ni kaudhalilishaji fulani kamefikia kumfanya mke kukosa kujiamini hata kwa wanawake wenzake aisee... she has been overly mistreatedNi ngumu sana kuishi na mtu ambaye ni control freak. Nampa pole sana huyo mke wa jamaa yako.
swahiba, and that is my spirit...Simu yangu ni my own property. Na yake ni yake.
Siigusi simu yake, she doesn't touch mine.
Thats our agreement and it works.
We are happy with our contract.
No one will break it. Ever!
Sio tu udhalilishaji yaani ni ukandamizaji hasa.. I've been there.. Jamani usiombe kupata mtu wa aina hiyo!!!to be honest ni kaudhalilishaji fulani kamefikia kumfanya mke kukosa kujiamini hata kwa wanawake wenzake aisee... she has been overly mistreated
Igwe... inasikitisha sana, when you look at the guy, huwezi amini upumbavu anaoufanya
Igwe... inasikitisha sana, when you look at the guy, huwezi amini upumbavu anaoufanya
Hahahaha.... hii njemba inaingia humu? Inauma sana aisee.swahiba, and that is my spirit...
this dude anatudhalilisha and i hope anaingia JF.... ukimuona huwezi amini
swahiba, and that is my spirit...
this dude anatudhalilisha and i hope anaingia JF.... ukimuona huwezi amini
Duhh Hivi watu kama hawa bado wapo, mi nilidhani walishaisha zamani sana....,
Ila mimi nisiowapenda zaidi ni wale wanaowasema wenzao kwa marafiki na majirani kwamba hawafai..., au kuwafata mbele ya kadamnasi na kuanzisha zogo mbele ya marafiki zao instead ya kuwaita kando na kugombana nao faragha
This is how we live hommie!!Simu yangu ni my own property. Na yake ni yake.
Siigusi simu yake, she doesn't touch mine.
Thats our agreement and it works.
We are happy with our contract.
No one will break it. Ever!