M-bongotz
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 1,734
- 405
Kuna jamaa mmoja hapa mtaani kwetu jana usiku nusura apigwe na wananchi wenye hasira baada ya kukutwa akimchungulia mtu aliyeko ******, kama mjuavyo wadau nyumba zetu za kitaani choo cha nje, bibie alisimulia baada ya tukio kuwa jamaa alikuwa naye ndani, mara ghafla tumbo likamzingua akaamua kukimbilia toilet, lakini akiwa huko akiendelea na shughuli akasikia purukushani nyuma ya choo, alipotoka akakuata mumewe anataka kupigwa kisa eti alikuwa anakula chabo ******, ndipo ilipobainika kuwa kumbe jamaa ndiyo mchezo wake, keshawachungulia sana wake wa wapangaji wenzake na walikuwa kila wakimuuliza anakataa sasa jana wakamdaka tena akimchungulia mkewe, waungwana tabia hii inatokana na nini?, ni matatizo ya akilii au saikolojia?