Ni Jpili nyingine wapendwa tunakumbushana maneno ya Mungu maneno ya Mungu yanatwambia kumcha Mungu ni chanzo cha maarifa ebu twendeni makanisani tukamwabudu Mungu alie hai Mungu alieziumba mbingu na nchi tujifunze kusamehe na kutubu madhambi yetu, maandiko yanatwambia yeyote asiesamehe hatasamehewa na baba yangu, nikutakien jpili njema.