Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,189
- 128,283
Mkuu kula bia mfululizo hii weekend.
Hahahaaaa, kwamba "Angemuezeka kelbu"!Mkuu
Huyo jamaa ni tapeli tu.
Lakinu ndoa ya system na CCM ipo ndo maana ukimsikiliza yule mzee mpumbavu aliyeulizwa na mwandishi kuhusu mgao wa umeme na changamoto zingine aliishia kung'aka na angemuezeka kelbu. Eti watanzania tuwe na shukrani. Kalewa damu za Watanzania wanaoteseka na kufa bila huduma bora za afya na wale wanaouawa kwa kuikosoa CCM
Uandishi wako unatia shaka sana kama una elimu hiyo au hata akili tu.Nasikitika kuwa Kuna watu hawaamini na wengine hawaelewi.
Jamani nilichokisema ni ukweli mtupi na wengine walikiwa wanapotezwa sababu ya woga.
Kilochokuwa kinafanyika uraiani hata kwenye makambi ilikuwa hivyo hivyo Tena zaidi maana Kule kulikuwa na machawa wengi mno Tena ant book (failure).
Subirini nipate muda nitaweka full story.
Yule mzee unamuonaje asee😀Hahahaaaa, kwamba "Angemuezeka kelbu"!
HAKIKA:Amueni.
Revolution is a vision.
Watanzania wengi ni waoga waoga.
Na bila kuitoa CCM tutaendelea kuwa masikini milele.