Uajabu gan upo kwenye hizo hadithi mkuu?Yowie wa Australia: Hadithi za Ajabu za Kabila la Watu Wenye NyweleView attachment 2410122
Na maujanja yooote uliyo nayo bw mshana "Popo kajinyea mikwasah" huijuiHii style inaitwaje? Mbona sijawahi kuiona?View attachment 2410044








Jamaa walikua wahuni sana kuliko sasahv mpaka kufikia kutiwa kiberiti mji mzima sio poaHii style inaitwaje? Mbona sijawahi kuiona?View attachment 2410044
Dah kweli kua uyaone! Sijui nitaifanyia wapi majaribio hii![]()


mh! Ukimpata mlishe magimbi na viazi vitamu ili sumu ya chips ipotee ndio ataweza kubinuka hivyo! 

Walikua na balaa sana hawa jamaa na ikishika kwa styl hiyo ujue atazaa alliens