ngaboru
JF-Expert Member
- Mar 3, 2016
- 2,116
- 5,531
Mi nilizani ni mfaransa kwa sababu zinaitwa french fries 😂😂😂😂.Ngozi nyeusi tunatisha tumegundua vingi sema wanavipa majina ya kimchongo ila tusiofuatilia mambo tujione ni mabogus tuu.
Picha zao...?mwaka 1963 watu saba walikufa kisa nyege huko india
source cnm
Huu si uchizi...?
Wazungu wajanja sana walinunua haki na hati miliki zote ambazo ni za weusiMi nilizani ni mfaransa kwa sababu zinaitwa french fries.Ngozi nyeusi tunatisha tumegundua vingi sema wanavipa majina ya kimchongo ila tusiofuatilia mambo tujione ni mabogus tuu.
1907