dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
Mimi cjui zaidiq ila kiukweli huyu Nape anafanana sana na mzee mwandosya ila usiniulize zaidi cjui chochote zaidi kuwafananisha tu
![]()
Kidogo napata shida ktk suala la familia ya Mh. Nape 'Mosses' Nnauye.
Kwanza kabisa hili jina la Mosses huwa halitumiwi na waislamu, waislamu hutumia Mussa, lkn pia hapa ktk kumbukumbu ya mzee Nnauye jina la Nape halipo.
Pia kulikuwa na tetesi kuhusu originality ya Nape cyo mzee Nauye sasa cjui km kuna ukweli au laa.
Mkuu una historia yakutosha tuu na hii familia asante kwa maelezo yako, nimepata kitu, huyu jamaa namkubali sanaNape ni Mtoto wa Moses!
Mama yake Nape hakuwa Mke wa Ndoa wa Bregadia General Moses Nnauye.
Wakati wa Mchakato wa Uenykt wa UV CCM wanamtandao wa Lowassa wakiongozwa na Mzee Yusuph Rajab Makamba walienda 'kumtengeneza' ni Mwanaisha Mke wa Ndoa wa Afande Nnauye amkane Nape na kweli akasaidiwa kuitisha Press conference akamkana Nape kuwa si wala hajawahi kuwa Mtoto wa Mzee Nauye kwa kuwa kwny Wosia wa Marehemu alioacha Kwny orodha ya Watoto wake Nape hakuwepo!
Afande Nnauye alikuwa Muislam na Nape ni Mkristo akifuata Dini ya Mama yake ambae ni Mnyiramba wa Singida
Kuhusu Mzee Nnauye kutumia Jina la Moses Hiyo ni Technique iliyotumiwa na Waislam wengi wakati wa Ukoloni waliopita Shule na baada ya Ukoloni kuepuka Ubaguzi wa kidini Mf.
Jakaya Kikwete Jina la Khalfan alikwepa kulitumia kukwepa Mkono wa kidini, Jina lake ni Jakaya Khalfan Mrisho Kikwete Mizega, Khalfan ikawa nadra kutumia!
Ukiwaona Ditopile Mzuzuri Jina la Ramadhani akalitumia mara chache
Generali Ulimwengu Jina la Twaha akaachana nalo kwa muda
Hayati Wakili Msomi Bob Makani Jina lake la Mohamed akaachana nalo kwa Muda
Kighoma Ally Malima , akaachana kwa Muda na Jina la Ally
Moses Nnauye Jina lake halisi ni Mussa Nnauye
Ni kawaida unapobadili dini, hutafutwa herufi zinzofanana na ya mwanzo ya jina la zamani, mfano John=JumanneNi haki ya kikatiba kuwa dini ile upendayo....Ndiyo maana kuna Mwingine na yeye alibadili Dini hadi Jina na kuitwa Jumanne...Ili tu a-survive ndani ya kijani...
Boss taratibu povu la nnBaada ya kuanza kuwachapa maccm ...mmeanza kumfuatilia maisha binafsi....je wewe unajijua mmulize mama yako. Uone kama hatakuambia kuwa wewe una undugu na kolomije
Mhh kaka mwandosya yupi huyu Mack?Mimi cjui zaidiq ila kiukweli huyu Nape anafanana sana na mzee mwandosya ila usiniulize zaidi cjui chochote zaidi kuwafananisha tu
It is a long story.Mmh makubwa haya, kaka hebu fafanua kidogo
Huo mchomeko wako daa kama huu kabisa.Mwandosya anauhusiano wowote na huyu kijana Nape? Nimechomekea tu

Kumbe mzee mohamed saidi yupo sahihi.Nape ni Mtoto wa Moses!
Mama yake Nape hakuwa Mke wa Ndoa wa Bregadia General Moses Nnauye.
Wakati wa Mchakato wa Uenykt wa UV CCM wanamtandao wa Lowassa wakiongozwa na Mzee Yusuph Rajab Makamba walienda 'kumtengeneza' ni Mwanaisha Mke wa Ndoa wa Afande Nnauye amkane Nape na kweli akasaidiwa kuitisha Press conference akamkana Nape kuwa si wala hajawahi kuwa Mtoto wa Mzee Nauye kwa kuwa kwny Wosia wa Marehemu alioacha Kwny orodha ya Watoto wake Nape hakuwepo!
Afande Nnauye alikuwa Muislam na Nape ni Mkristo akifuata Dini ya Mama yake ambae ni Mnyiramba wa Singida
Kuhusu Mzee Nnauye kutumia Jina la Moses Hiyo ni Technique iliyotumiwa na Waislam wengi wakati wa Ukoloni waliopita Shule na baada ya Ukoloni kuepuka Ubaguzi wa kidini Mf.
Jakaya Kikwete Jina la Khalfan alikwepa kulitumia kukwepa Mkono wa kidini, Jina lake ni Jakaya Khalfan Mrisho Kikwete Mizega, Khalfan ikawa nadra kutumia!
Ukiwaona Ditopile Mzuzuri Jina la Ramadhani akalitumia mara chache
Generali Ulimwengu Jina la Twaha akaachana nalo kwa muda
Hayati Wakili Msomi Bob Makani Jina lake la Mohamed akaachana nalo kwa Muda
Kighoma Ally Malima , akaachana kwa Muda na Jina la Ally
Moses Nnauye Jina lake halisi ni Mussa Nnauye
Heshima yako Pohamba, hahahahahah
Mie ni Mwanakindaki ndaki ndani ya Chama, nawajua Hawa Watoto mpaka Baba zao tangu Enzi za Afro Shiraz na TANU tukiitana Ndugu badala ya Bwana/ Mheshimiwa
Duu balaaIt is a long story.
Ila in short ni kwamba baba yake Nape ni huyo Peter Haule.
Very sadPohamba hujaacha kitu kuhusu Nape, Mzee Nnauye, familia yao hadi mizengwe ya akina Mzee Makamba ya kujaribu kum-discredit Nape pale alipoanza kuwachana vigogo wa CCM; hususani Edward Lowassa na Emmanuel Nchimbi enzi zile akiwa UVCCM!
Nakumbuka watu tulivyoshituka baada ya kumsikia Mzee Makamba akisema Nape si mtoto wa Mzee Nnauye wakati ni Mzee Makamba huyo huyo hapo kabla aliwahi kuishi na Nape akiwa mdogo kwa kofia ya urafiki wake na Mzee Nnauye!!
Wallah nakuambia, siku ile ndipo nilikuja kuamini maneno ya watu kwamba Siasa ni Mchezo Mchafu!!!
dah! wewe utakuwa katibu wa itikadi , uenezi na ushirikishwaji wa umma wa sekretarieti ya halmashauri kuu ya chamaNape ni mtoto wa baba yangu mkubwa.
Ambaye ni mwalimu mstaafu sasa.
Anaishi gongo la mboto huko.
As far as I know Nape ni mkristo na mgoni.
Ukoo wao ni akina HAULE.
Baba yake anaitwa Peter Haule.