Kumbukizi: Video ya Hotuba ya Dkt. Bashiru

Unashangaa ya Bushiru? Ya Polepole je? Hebu kwanza jiulize...kama una akili timamu kweli unaweza kuitumikia CCM kweli! Ili iweje? Ndugu yangu Castr , hebu tazama video hii halafu ujiulize kama jitu lenye akili timamu linaweza kukata mauno hadharani hivi mbele ya wazee wenzake, wazazi wenzake, vijana wake, watoto wake, wajukuuu na watukuu wake...!

View attachment 1795761

Ni laana tu inaweza kukutuma kufanya vituko kama hivi...
Huyu anayecheza ni nani?
 
Huyu anayecheza ni nani?
Moja wa mawaziri katika serikali ya lile jitu katili lililosalimu amri kwa Covid-19 na hivyo taifa likaokolewana kutoka mikononi mwake na sasa wananchi angalau wanaishi tena kwa amani na matumaini.
 
Kiuhalisia watu wenye Elimu kama yake ndio wangetakiwa bungeni zaidi na sio akina Msukuma na kibajaji watatunga sheria gani?
Hao std seven ndiyo tegemeo kubwa la ccm maana bila wao ccm hadi sasa isingekuwepo kwenye madaraka.
 
Hao std seven ndiyo tegemeo kubwa la ccm maana bila wao ccm hadi sasa isingekuwepo kwenye madaraka.
Kuwepo madarakani na ufanisi bungeni ni vitu viwili tofauti.
Akina Msukuma na Kibajaji ni sawa na taulo la gesti.
Wanatumiwa na wasomi na mafisadi.
Kuna vitu wenye akili hawawezi kusimama na kuvisemea lkn hawa wadudu wa unga hupewa kandarasi ya kuwasemea na kuharibu mijadala.
 
Hawawezi kufanikisha hilo bila kumshirikisha spika.
Lazima spika anajua nini wanafanya vinginevyo asingekubali kuwapatia muda wa kufanya hizo futuhi bungeni.
 
Back
Top Bottom