Kumbukizi: Video ya Hotuba ya Dkt. Bashiru

Kwa viwango alivyoiathiri nchi yetu nadhani hata alipo sasa hakustahili.Ila kwa kuwa awamu hii imeamua kumrekebisha badala ya kumwadhibu,yafaa ajifunze pamoja na wengine wenye tabia na mitazamo ya namna hiyo.
Hakika Mungu amesikiliza kilio na machozi ya watanzania maana wengi tuliumia kwa maamuzi yake yakiongozwa na jeuri kuu.
 
Kwa hakika Bashiru alijikweza mno, japo pengine tabia ya Bosi wake, mzee Keko, inaweza ikawa ilichangia. Sasa yeye ni viti maalum, kina Jafo na msajili wa vyama wanadunda. Ipo haja kujifunza kuwa na akiba ya maneno, kuwa na lugha za kistaarabu, na kuwa muungwana. Inasaidia sana pale unapodondoshwa puuuu!
Alisahau kuwa hakuna binadamu anayeweza kuijua kesho yake.
 
lakini ndiyo maisha ya kisiasa yalivyo, wenyewe wanaelewa vizuri tu hali hiyo!
 
Kwa hakika Bashiru alijikweza mno, japo pengine tabia ya Bosi wake, mzee Keko, inaweza ikawa ilichangia. Sasa yeye ni viti maalum, kina Jafo na msajili wa vyama wanadunda. Ipo haja kujifunza kuwa na akiba ya maneno, kuwa na lugha za kistaarabu, na kuwa muungwana. Inasaidia sana pale unapodondoshwa puuuu!
Mangu aliwaharibu Sana.
 
Katibu wa CCM anamhakikishia Waziri na Jaji Mkuu kuwafukuza kazi.

Hii imekaaje?
 
Tunakushukuru sana kwa kutukumbusha utopolo wa Bashiru Ally , sasa hivi ni mbunge wa viti maalum
Dr. Bashiru alikuwa mtendaji kwelikweli na kwa mamlaka haswa! Katibu wa sasa hivi, kama vile anawasomea watoto hadithi za Sungura na mbwa mwitu! Makubwa! - Those who want they don't get and those who get, they don't want. That is the world!
 
Katibu wa CCM anamhakikishia Waziri na Jaji Mkuu kuwafukuza kazi.

Hii imekaaje?
Unashangaa ya Bushiru? Ya Polepole je? Hebu kwanza jiulize...kama una akili timamu kweli unaweza kuitumikia CCM kweli! Ili iweje? Ndugu yangu Castr , hebu tazama video hii halafu ujiulize kama jitu lenye akili timamu linaweza kukata mauno hadharani hivi mbele ya wazee wenzake, wazazi wenzake, vijana wake, watoto wake, wajukuuu na watukuu wake...!

Ni laana tu inaweza kukutuma kufanya vituko kama hivi...
 
Back
Top Bottom