Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 359,869
- 828,403
Historia ya Peugeot nchini Tanzania, na kwa hakika Afrika, imefungamana sana na model maarufu ya 504, ambayo ilipata umaarufu mkubwa na kupata jina la utani la "Malkia wa Afrika" kutokana na kutegemewa sana nakuhimili changamoto za barabara za Kiafrika na kutumika kwenye hafla za mikutano mbali mbali ya kitaifa na kimaifa.
Peugeot 504, inayojulikana kwa uimara wake, ilipata umaarufu zaidi barani Afrika, ikiwamo Tanzania, kutokana na uwezo wake wa kuhimili maeneo yenye changamoto na mazingira magumu
Hapa Tanzania mpaka leo makutano ya barabara ya Alhasani Mwinyi na Ohio kuna jengo maarufu la Peugeot house