Nesto E Monduli
JF-Expert Member
- Jun 6, 2016
- 247
- 155
Leo ni Ulimwenguni tuna Kumbukizi ya heshima Karl Landsteiner mgunduzi wa Makundi ya Damu (Blood Groups)mf. A ,B , O na AB ambayo yanatumika Mpaka leo katika Huduma za Afya ya Mwanadamu.
Alizaliwa Juni 14, 1868 Vienna, Austria-Hungary
Alifariki Juni 26, 1943 (Umri 75) Mjini New York
Pia alikuwamo katika waanzilishi na wanaharakati 15 wa Ugunduzi wa Kinga ya Polio mwaka 1911,kazi ambayo ilimpatia tuzo ya Polio Hall of Fame (Polio Wall of Fame) iliyohusisha masanamu yao kuwekwa kwenye ukuta huko "Warm Spring" Georgia, USA mwaka 1958. .Hii ikiwemo Pia picha yake kuwekwa Nyuma ya Fedha Noti ya "Schilling 1000" ya nchini Austria mwaka 1997. Pia alikuwa ni Mshindi wa Tuzo ya Amani (NOBEL PRIZE) mwaka 1930.
The World Pays Tribute to This Maestro.We Salute you!!!
Kwa Maelezo zaidi juu ya kazi yake Mtaalamu Huyu:
Karl Landsteiner - Wikipedia, the free encyclopedia
Nesto E. Monduli
Kurasini
DSM