tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,038
Watanzania ifahamike ya kwamba kuandama barabarani kwa lengo la kutaka mabadiliko ni halali kwa mtanzania na imehalalishwa na katiba yetu na inaeleza kabisa kuwa jeshi la polisi litatakiwa kutoa msaada kwa waandamanaji kwa kuwapa ulinzi na kuhakikisha usalama wao.
Shida inapokuja kwa viongozi wetu waliopo madarakani kuanza Samia mwenyewe alisema katiba ni kakijitabu tu kadogo, tangu lini maendeleo yakaletwa na kakijitabu hako. Lakini siku ikafika watanzania mkajua ya kuwa mpo chini sana na mnaonewa sana ndipo mtakapoamka na kuona hali tuliyonayo kama taifa ni mbaya sana. Lissu amefanya kwa nafasi yake na vitu vingi sana ametusanua.