Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 26,802
- 38,847
Ni uoga tu wa kipumbavu! Mm naweza hata kuweka jina langu na namba yangu ya simu kwenye profile na bado nisifanywe kitu chochote kile,
Shida ya watu wa hapa hmna hoja ya maana zaidi ya kutukanana na kuita a majina ya ajabu ajabu, alafu eti mnatafutwa?
Shida ya watu wa hapa hmna hoja ya maana zaidi ya kutukanana na kuita a majina ya ajabu ajabu, alafu eti mnatafutwa?